Shahsia Muhimu

Sheikh Qavuq: Netanyahu anahofia kukabiliana na Hizbullah

Sheikh Qavuq: Netanyahu anahofia kukabiliana na Hizbullah

Mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa, uhusiano kati ya Hizbullah na vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vilivyoko kusini mwa Lebanon (UNIFIL) ni mzuri na msingi wake ni ushirikiano na uratibu unaoendelea. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Ahed, Sheikh Nabil Qawoq, mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah…

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 25th Nov. 2022   Hotuba ya 1: Tofauti kati ya Hifazat, Hisn, Taqwa na Ismat Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Kumcha mwenyezi Mungu ipasavyo humaanisha  kutumia kikamilifu uwezo na nguvu

Kumcha mwenyezi Mungu ipasavyo humaanisha  kutumia kikamilifu uwezo na nguvu

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 18th Nov. 2022 Hotuba ya 1: Kumcha mwenyezi Mungu ipasavyo humaanisha  kutumia kikamilifu uwezo na nguvu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Himizo juu ya Umoja na Kutotengana ni mfumo unaopatikana katika mafunzo ya Qur’ani, usiopatikana katika madhehebu

Himizo juu ya Umoja na Kutotengana ni mfumo unaopatikana katika mafunzo ya Qur’ani, usiopatikana katika madhehebu

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 11th Nov. 2022   Hotuba ya 1: Himizo juu ya Umoja na Kutotengana ni mfumo unaopatikana katika mafunzo ya Qur’ani, usiopatikana katika madhehebu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu,…

Ayatollah Sheikh Isa Qasim: Uchaguzi nchini Bahrain unalenga kuua demokrasia

Ayatollah Sheikh Isa Qasim: Uchaguzi nchini Bahrain unalenga kuua demokrasia

Kiongozi wa Kishia wa Bahrain aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba kususia uchaguzi nchini humo ni kulinda demokrasia. Ayatullah Sheikh Isa Qassem, kiongozi wa Kishia wa Bahrain, kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kususia uchaguzi wa wabunge na manispaa nchini humo. Kulingana na tovuti ya Manama Post, aliandika: “Mmoja wao amesema jambo lisilofaa…

Kuwa Shahidi ni kutopendelea upande wowote katika muamala:Allamah Syed Jawad Naqvi

Kuwa Shahidi ni kutopendelea upande wowote katika muamala:Allamah Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 28st oct. 2022   Hotuba ya 1: Sharti kuu la mtu kuwa Shahidi ni kutopendelea upande wowote katika muamala. Pasi na hivyo ni uhalifu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi…

Hotuba ya Ijumaa – 21st October 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 21st October 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Tanguliza ucha Mungu katika miamala ya kiuchumi na Mwenyezi Mungu Atakujaalia elimu ya miamala salama Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Kenya; Miguna Miguna Arejea Nchini Baada Ya Miaka Kadha Ya Mvutano Na Utawala Wa Uhuru

Kenya; Miguna Miguna Arejea Nchini Baada Ya Miaka Kadha Ya Mvutano Na Utawala Wa Uhuru

Wakili na mwanaharakati Miguna Miguna hatimaye amewasili nchini mapema Alhamisi. Bw Miguna ana uraia wa nchi mbili; Kenya na Canada, na alitimuliwa nchini na serikali ya Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta 2018 baada ya vuta nikuvute alipomuapisha Raila Odinga kama ‘Rais wa Wananchi’. Alikuwa mmoja wa mawakili waliomuapisha kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwa ‘Rais wa…