
Hotuba ya Ijumaa – 19th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan HOTUBA ya 1: Talaka ni sehemu ya Ucha Mungu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa ucha…

Donald Trump anakabiliwa na kifungo cha miaka 10 gerezani kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anaweza kufungwa jela miaka 10 iwapo atapatikana na hatia ya kukiuka Sheria ya Ujasusi, mchambuzi wa masuala ya sheria alisema. Kwa mujibu wa mtandao wa MSNBC; Sheria ya Ujasusi, ambayo ilianza wakati wa Vita vya Kwanza vya Kidunia, ni kati ya sheria tatu ambazo rais wa zamani wa…

Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: UCHAJI MUNGU KIVITENDO HUPATIKANA KATIKA NIDHAMU YA NDOA Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Azadari (Maombolezi) ni muendelezo wa mwamko wa Ummah kutoka kwa Imam Husein (a) Muharram, Ashura ni baraka maalum ambayo ni kama mwongozo…

Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS
Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Husain AS. Maombolezo ya usiku wa kuamkia leo yamefanyika katika kona zote za Iran na nje ya Iran ikiwemo Husainia ya Imam Khomeini MA mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa…

Kongamano la Dunia la ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ limefanyika leo
Mjumuiko maalumu wa ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ umefanyika leo sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram katika maeneo 7,500 nchini Iran na katika nchi zingine 45 duniani. Kila mwaka na katika Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram, kwa mnasaba wa kukumbuka alivyouawa shahidi kikatili Ali Asghar, mtoto mchanga wa miezi…

Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya 1: Msingi wa kila tendo la kidini ni Taqwa Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu
Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo katika mkutano na wajumbe wa tume ya kuhuisha uamrishaji mema na ukatazaji mabaya. Katika mkutano huo na wajumbe hao, Seyyid Ebrahim…