
Sheikh Naim Qassem: Israel haina budi kutambua rasmi haki za maliasili za Lebanon
Naibu Katibu MKuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hauna budi kuzitambua rasmi haki za Lebanon zinazohusiana na utajiri wa maliasili za baharini. Sheikh Naim Qassem ameyasema hayo katika majlisi kuu ya Ashura na kusisitiza kuwa, Wamarekani inawapasa waache kushirikiana na Wazayuni katika kutafuta na kuchimba gesi katika eneo la…

Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Sifa za kiongozi bora Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Kuridhishwa kwa Iran na matokeo ya mkutano wa Tehran, Harakati dhidi ya Umagharibi yazidi kuimarika
Ziara ya hivi karibuni ya marais wa Uturuki na Russia mjini Tehran na kukutana na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo iliakisiwa pakubwa na vyombo vya habari vya dunia, kwa mujibu wa wachunguzi na wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, ni muungano mpya dhidi ya serikali ya Iran. Magharibi. Gazeti la Lebanon la…

Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Je! Mwenyezi Mungu huwafanya nini wenye matamanio ya uongozi? Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni…

Hotuba ya Ijumaa – 24 Juni 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 24 Juni 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Msiba wa mwanachuoni ni Kupenda Uongozi. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kumcha Mwenyezi Mungu na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran zinatoa kipaumbele juu ya kuimarisha uhusiano na majirani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano na mataifa jirani. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hayo leo katika mazungumzo yake na Rais Serdar Berdimuhamedow wa Turkmenistan na kuongeza kuwa: Kuimarisha uhusiano wa pande mbili na…

Maduro: Maneno ya kiongozi wa Iran yalinitia nguvu
Baada ya kukutana na Ayatullah Khamenei, rais wa Venezuela alisema katika ujumbe wake: Maneno ya kiongozi huyo wa Iran yalinitia nguvu. Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameandika katika ujumbe wake wa Twitter akizungumzia mkutano wake na kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran: “Nilikuwa na mkutano uliojaa mambo ya kiroho na hekima pamoja na kiongozi…

Rais Samia awasili Oman na kupokewa rasmi na mwenyeji wake, Sultan Haitham bin Tarik
Sultan Haitham bin Tariq Aal Said w Oman leo Jumapili amempokea rasmi Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuwasili nchini humo. Rais Samia yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Oman. Uhusiano wa Tanzania na Oman hasa Zanzibar na maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki yakiwemo…