
Lionel Messi alikua muigizaji
Kwa mara ya kwanza nyota huyo wa mchezo wa kandanda ulimwenguni aigiza katika filamu. Vyombo vya habari vya Argentina viliripoti kushiriki kwa Lionel Messi katika kipindi cha televisheni cha Argentina. Nyota huyo wa kandanda aliingia kwenye ulimwengu wa sanaa kwa mara ya kwanza baada kua muigizaji katika filamu ya mfululizo inayofahamika kama The Guardians. Kipindi…

Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani afutwa kazi
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jalina Porter amejiuzulu baada ya miezi 16 ya utawala wa Biden bila kuweka wazi majukumu yake ya baadae.Lakini msemaji wa huduma ya kidiplomasia ya nchi hiyo alisema kuwa amejiuzulu. Gazeti la Washington Post Free Bacon liliandika katika ripoti yake kua: Baada ya miezi 16 ya utumishi,…

Pop Francis: Tunayakubali mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Katika kujibu ujumbe wa Kiongozi huyo Muadhamu wa Mapinduzi, Pop Francis amesema yafuatayo; “Salamu kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na wale viongozi wa kidini wa Iran; Vile vile sisi tunayakubali yale ayasemayo kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Ayatollah A’rafi, mkurugenzi wa seminari hiyo, aliwasilisha ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa Pop…

Kiongozi Muadhamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni Fatemi ni’a
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni na mhubiri katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hujjatul Islam Sayyid Abdullah Fatemi ni’a. Nakala ya ujumbe huo ni kama ifuatavyo; kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma mwenye Kurehemu Natoa pole na rambirambi zangu kwa familia ya…

Sadr abadilika kuwa mpinzani wa taifa
Kiongozi wa mrengo wa Sadr nchini Irak amesema hajafaulu kuunda serikali ya kitaifa ya walio wengi na kuongeza kuwa kuna njia moja pekee iliyosalia nayo ni upinzani wa kitaifa. Muqtada al-Sadr aliandika katika tweet yake: “Nilipewa heshima kubwa kuwa na muungano mkubwa na maarufu zaidi wa bunge katika historia ya Iraq.”Nilipata heshima ya kuunda kizuizi…

Mohammed bin Zayed ateuliwa kuwa rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati)
Baraza Kuu la Muungano wa Falme za Kiarabu limemteua Mohammed bin Zayed Aal Nahyan kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Televisheni ya al Jazeera imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, uteuzi huo umekuja baada ya kufariki dunia rais wa nchi hiyo, Sheikh Khalifa bin Zayed Aal Nahyan. Khalifa bin Zayed alifariki dunia jana Ijumaa akiwa…

Waziri wa Kizayuni: Sielewi wasiwasi wa polisi kuhusu bendera ya Palestina!
Waziri wa Ushirikiano wa Kieneo wa Kizayuni katika mazishi ya marehemu mwandishi wa habari wa Al-Jazeera, amesema kuwa mienendo ya jeshi la Kizayuni ni utovu wa kimaadili na haelewi sababu ya wao kuogopa bendera ya Palestina. Kwa mujibu wa Fars News, Waziri wa Ushirikiano wa Kieneo wa Israel Issawi Frij alikosoa mienendo ya jeshi la…

Rais wa UAE amefariki dunia
Shirika rasmi la habari la UAE lilitangaza kifo cha rais wa nchi hio. Kulingana na huduma ya kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, shirika rasmi la habari la UAE (Wam), leo hii (Ijumaa), limetangaza kuwa “Khalifa bin Zayed Al Nahyan” rais wa nchi hii amefariki dunia. Shirika rasmi la habari la Imarati limeandika: Wizara…