Shahsia Muhimu

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Jeshi la Israel limekiri kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera katika mji wa Jenin baada ya kupigwa risasi na wanajeshi wa Israel kulingana na uchunguzi uliofanyika kuhusu mauaji ya mwanahabari huyo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, licha ya madai ya maafisa waandamizi wa utawala wa muda wa Kizayuni kwamba…

Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli

Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli

Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo haina ukweli wowote. taarifa ya vyombo vya habari vya Syria imetolewa baada ya baadhi ya duru za habari kuripoti asubuhi ya leo kwamba, Rais Bashar al-Assad amenusurika kkifo baada ya kufeli jaribio la mauaji dhidi…

Rais Suluhu Atangaza Siku Mbili Za Maombolezo Ya Kibaki

Rais Suluhu Atangaza Siku Mbili Za Maombolezo Ya Kibaki

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku mbili za maombolezo nchini humo kufuatia kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya Mwai Kibaki. Maombolezo hayo ya kitaifa yanaanza leo Ijumaa Aprili 29 hadi Jumamosi 30, 2022. Kwenye taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais Alhamisi, Aprili 28, Rais Suluhu aliwaomba Watanzania waungane na Kenya kuomboleza Hayati…

Hatimaye Kibaki Azikwa Karibu Na Kaburi La Mama Lucy

Hatimaye Kibaki Azikwa Karibu Na Kaburi La Mama Lucy

RAIS wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Stanley Emilio Mwai Kibaki alizikwa Jumamosi nyumbani kwake Othaya, Nyeri. Mazishi ya Mzee Kibaki yalihudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta, naibu wake, William Ruto, kiongozi wa ODM, Raila Odinga ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu katika serikali ya mseto iliyoongozwa na marehemu, makamu wake, Kalonzo Musyoka, miongoni mwa wanasiasa na…

Mmoja auawa na polisi nchini Nigeria katika maandamano ya Siku ya Al-Quds Duniani

Mmoja auawa na polisi nchini Nigeria katika maandamano ya Siku ya Al-Quds Duniani

Polisi wa Nigeria wamemuua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine kadhaa katika shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji wa Siku ya Al-Quds Duniani huko Zaria, Jimbo la Kaduna. Takriban mtu mmoja aliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati polisi walipowafyatulia risasi wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wakati wa maandamano ya Siku ya Dunia ya Al-Quds…

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Katika Hotuba yake ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei alizungumza katika siku hii inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds iliyorushwa moja kwa moja na kupitia televisheni akisema; ‘Salamu kwa taifa lao kuu la Iran, ambalo limeunda historia siku hii ya…

Umaarufu wa Biden washuka miongoni mwa vijana wa Marekani

Umaarufu wa Biden washuka miongoni mwa vijana wa Marekani

Kwa mujibu wa kura mpya ya maoni, umaarufu wa serikali ya Marekani miongoni mwa vijana umeshuka kwa kiasi kikubwa. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, matokeo ya kura mpya ya maoni yameonyesha kuwa umaarufu wa utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden miongoni mwa vijana wa Marekani umepungua sana…

Hassan Joho afifia kisiasa

Hassan Joho afifia kisiasa

USHAWISHI wa Gavana wa Mombasa, Bw Hassan Joho, kwa siasa za Pwani na kitaifa kwa jumla umekosekana kwa takriban wiki mbili sasa baada ya kuugua kwake. Ilibainika Bw Joho alianza kuugua punde alipowasili nchini kutoka ziara ya Uingereza ambapo alikuwa ameandamana pamoja na Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na wanasiasa wengine wa Muungano wa…