Shahsia Muhimu

Amerika, EU Wawinda Mabinti Wa Rais Putin

Amerika, EU Wawinda Mabinti Wa Rais Putin

AMERIKA na Muungano wa Mataifa ya Ulaya (EU) sasa zinalenga mabinti wa kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumshinikiza kuondoa majeshi yake nchini Ukraine. Kulingana na ripoti zilizochapishwa Jumatano katika majarida ya Wall Street Journal na Bloomberg, Amerika na EU zinalenga kuwekea vikwazo vya kiuchumi mabinti hao; Maria Vorontsova na Katerina Tikhonova kufuatia hatua ya baba yao,…

Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah kwa mnasaba wa Mwezi wa Ramadhani

Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah kwa mnasaba wa Mwezi wa Ramadhani

Kwa mujibu wa taarifa, hotuba hiyo itarushwa mubashara au moja kwa moja kupitia televisheni ya Al Manar saa mbili na nusu usiku kwa wakati wa Beirut na Afrika Mashariki. Sayyid Hassan Nasrallah atazungumza kuhusu masuala mbali mbali katika hotuba hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na wengi.

Biden Kuzuru Mpaka Wa Ukraine Na Poland

Biden Kuzuru Mpaka Wa Ukraine Na Poland

RAIS Joe Biden anatarajiwa kutembelea mpaka wa Poland na Ukraine huku serikali ya Amerika ikisema kuwa, haiungi mkono wito wa kutaka kiongozi wa Urusi Vladimir Putin auawe. Rais Biden atatua mjini Rzeszow, Poland kilomita 80 kutoka mpaka wa Ukraine. Ziara hiyo ya Biden inaashiria kuwa Amerika iko tayari kupambana na majeshi ya Urusi iwapo yatathubutu…

Rais Samia ataka mwelekeo mpya wa majeshi

Rais Samia ataka mwelekeo mpya wa majeshi

Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi. Amesema hayo leo Ijumaa Machi 25, 2022 katika uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwenye miradi ya makao makuu ya Magereza Dodoma “Haina maana kama mtu ana cheo…

Mkutano wa Amir Abdullahian na Seyed Hassan Nasrallah

Mkutano wa Amir Abdullahian na Seyed Hassan Nasrallah

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye jana aliwasili Beirut alikutana na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir Abdullahian amekutana leo (Ijumaa) na Katibu Mkuu wa harakati…

Bin Salman augua maradhi ya megalomania

Bin Salman augua maradhi ya megalomania

Ushahidi wa kisaikolojia na kisayansi unathibitisha kuwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman, anasumbuliwa na ugonjwa wa kichaa cha kujiona kuwa adhimu na muhimu kupita kiasi (megalomania) na matatizo yanayoambatana na ugonjwa huo. Wakati wa mahojiano yake marefu ya hivi majuzi na Muhammad bin Salman, mwandishi wa habari Graeme Wood kutoka The Atlantic alifupisha hali ya…

Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

Spika wa Bunge la Kitaifa la Uganda, Jacob L’Okori Oulanyah amefariki dunia akitibiwa nchini Marekani. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza kifo cha Oulanyah kupitia taarifa aliyoituma leo katika ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Twitter inayosema kuwa: Wananchi wenzangu, nasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge (la Uganda). Nilipokea habari…

Rais wa Algeria: Hatutasahau jinai za ukoloni wa Ufaransa

Rais wa Algeria: Hatutasahau jinai za ukoloni wa Ufaransa

Rais wa Algeria amesema uhalifu wa Ufaransa nchini Algeria hautakabiliwa na nyakati za kisasa na kwamba kesi hiyo lazima ichunguzwe kwa haki na uwazi. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Rais wa Algeria, Abdel Majid Taboun alisisitiza siku ya Ijumaa, siku ya kumbukumbu ya uhuru wa nchi hiyo, kwamba…