Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC alisema:Leo hii, ikiwa kauli mbiu ni kuifikia Quds Tukufu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutafika, na lengo hili ni lengo lenye uhakika. Na lengo letu kuu katika hatua hii ni kuifikia serikali ya ulimwengu ya Hazrat Mahdi (as) na kufikia uwepo wenye baraka wa Imamu wa Zama,…
Ziyad Nakhaaleh, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesema katika maadhimisho ya mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Jenerali Haj Qassem Soleimani, Abu Mahdi al-Mohandes na masahaba wengine huko Beirut:Damu ya Shahidi Sulemani ilimwagika kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa kikwazo kikubwa kwa siasa za Marekani na utawala wa Kizayuni. Aliongeza kuwa:…
Waziri Mkuu wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah iko sawa kabisa na vyama vingine vya siasa vya nchini humo kwa kuwa ni chama cha siasa. Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika ikulu ya Waziri Mkuu, Najib Miqati Waziri Mkuu wa Lebanon amebainisha kuwa Lebanon inakabiliwa na matatizo na vitisho vingi na vikubwa; na hakuna njia…
Rais wa Somalia amemfuta kazi Waziri Mkuu wake wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge na hivyo kuzusha mzozo mpya wa kisiasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Vyombo vya habari vimeripoti habari hiyo na kusema kuwa, Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo alichukua hatua hiyo jana Jumapili akimtuhumu Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kuwa anahusika…