Shahsia Muhimu

Rais wa Tanzania ameishutumu Marekani, na nchi za Magharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi

Rais wa Tanzania ameishutumu Marekani, na nchi za Magharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi

Misheni za kidiplomasia za Magharibi zilitaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya kiongozi wa zamani wa chama kikuu cha upinzani. Rais wa Tanzania alitoa wito kwa mataifa kadhaa ya Magharibi, ikiwemo nchi ya Marekani, kuto kukosoa na kujihusisha na masuala ya ndani ya nchi, yakiwemo mauaji na utekaji nyara. Katika mazungumzo yake akiwa katika eneo la…

Rais wa zamani wa Somalia alionya dhidi ya ushawishi wa UAE

Rais wa zamani wa Somalia alionya dhidi ya ushawishi wa UAE

Rais wa zamani wa Somalia alionya dhidi ya uamuzi wa serikali ya Daral ya nchi hii kukabidhi usimamizi wa anga ya Somalia kwa UAE, akiashiria kua ni jambo ambalo litaleta madhara katika maslahi ya kitaifa na uhuru wa Wasomali. The “Mohammed Abdullah Farmajo” aliandika kwenye ukurasa wake wa X: hamu ya mamlaka ya kuhamisha usimamizi…

Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kulinda utambulisho wa Umma wa Kiislamu

Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kulinda utambulisho wa Umma wa Kiislamu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kulinda utambulisho wenye thamani wa Umma wa Kiislamu ni dharura na kuongeza kuwa: “Kadhia ya ‘Umma wa Kiislamu” haipaswi kusahaulika hata kidongo. Kwa mujibu wa Tovuti ya Habari ya Ofisi ya Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyasema hayo leo Jumatatu alipokutana na Maulamaa,…

Afisa wa zamani wa UN: Marekani ni mshirika katika mauaji ya kimbari ya Israel

Afisa wa zamani wa UN: Marekani ni mshirika katika mauaji ya kimbari ya Israel

Afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa, ambaye alijiuzulu mwaka jana akipinga vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelea kufanywa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza ukisaidiwa na Marekani na washirika wake, ameendelea kulaani ushiriki wa Washington katika uhalifu huo. Craig Mokhiber, ambaye alikuwa akisimamia Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa…

Viongozi wa EAC jijini Nairobi kwa Raila Odinga kwa ajili ya uzinduzi wa Tume ya Muungano wa Afrika

Viongozi wa EAC jijini Nairobi kwa Raila Odinga kwa ajili ya uzinduzi wa Tume ya Muungano wa Afrika

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana Ikulu, Nairobi, kwa ajili ya kumtawaza rasmi Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, kuwa mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), katika dalili kubwa ya kuungwa mkono na kanda. Rais William Ruto alikuwa amewaalika wakuu wa mikoa kuhudhuria hafla ya…

“Urais pia ni kazi ya watu weusi”, Michelle Obama amwambia Trump

“Urais pia ni kazi ya watu weusi”, Michelle Obama amwambia Trump

Michelle Obama amemshambulia mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic uliofanyika jana Jumatano, akikosoa shakhsia yake na mashambulio ya kibaguzi yaliyomlenga yeye na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Barack Obama. Michelle Obama amesema kuhusu Trump kwamba: “Mwono na mtazamo wake finyu na mdogo kuhusu ulimwengu umemfanya…

Odinga aachana na siasa za Kenya, sasa anataka nafasi ya uongozi AU

Odinga aachana na siasa za Kenya, sasa anataka nafasi ya uongozi AU

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Bw Raila Odinga, jana Jumatano, alitangaza kwamba amejiondoa kwenye siasa za Kenya na kuingia katika siasa za Bara la Afrika katika juhudi zake za kuwania uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC). Odinga alisema kuwa hatajishughulisha sana na siasa za Kenya kuanzia sasa ili kuangazia kampeni zake za…

Rais wa Zimbabwe atoa mwito wa kufanyika juhudi za kuhifadhi historia ya Afrika

Rais wa Zimbabwe atoa mwito wa kufanyika juhudi za kuhifadhi historia ya Afrika

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe jana Jumapili alizitaka nchi za Afrika kuhakikisha kwamba historia ya bara hilo imeandikwa kwa usahihi na kulindwa ili kuzuia dosari za kihistoria. Akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la Meidani ya Ukombozi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Jumba la Makumbusho ya Ukombozi…