
Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu
Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu. Muhammad Mokhber amesema hayo katika mazungumzo yake hapa mjini Tehran Spika wa Bunge la Mali. Huku akiishukuru serikali na wananchi wa Mali kwa kuonyesha mshikamano wao na serikali…

Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kupigania kile alichokiita ‘haki yake’ ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo. Jumatatu iliyopita, Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini ilitoa hukumu kwamba Zuma hastahiki kugombea katika uchaguzi huo, ikisisitiza kuwa hana sifa za kuwa mgombea kwenye zoezi hilo la kidemokrasia. Kwenye video iliyotumwa kwenye jukwaa…

Rais wa Tanzania: Zipokeeni salamu zetu za rambirambi
Rais wa Tanzania, Samia Saluhu Hassan, katika salamu zake za rambirambi aliandika hivi: Kwa niaba ya serikali na wananchi wa Tanzania natuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Iran kutokana na kifo chenye kusikitisha cha Mheshimiwa Dkt. Ebrahim Raisi. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA ya Ijumaa, ikinukuu mashauriano ya kiutamaduni ya Jamhuri…

Salamu za rambirambi kutoka kwa Rais wa Tanzania
Kwa niaba ya serikali na wananchi wa Tanzania, natoa pole kwa taifa na serikali ya Iran kutokana na kifo cha Rais wa Iran Bw. Ebrahim Raisi pamoja na viongozi wenzake.

Kenya: Tuko pamoja na watu wa Iran
Kufuatia salamu za rambirambi za viongozi na maafisa wakuu duniani, kufuatia kuuawa shahidi Ayatollah Raisi na viongozi wenzake, Rais wa Kenya alitangaza mshikamano wake na taifa la Iran katika usiku wa kuamkia Jumatatu. Katika muendelezo wa risala za rambirambi za viongozi na shakhsia wa dunia kufuatia kifo cha rais na waziri wa mambo ya nje…

Rambirambi za Kiongozi Muadhamu kufuatia kufa shahidi Rais Raisi na wenzake
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe alioandamana nao. Kwa mujibu wa tovuti ya kituo cha habari cha Ofisi ya Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake leo Jumatatu, ametuma salamu…

Ayatollah Raisi aaga dunia
Ayatollah Raisi, rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameuawa kishahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzkaan Mashariki mwa Azabaja na kuaga dunia. Miongoni mwa waliokuwepo kwenye ajali hii katika helikopta iliyombeba rais ni Ayatollah Al-Hashem, Imamu wa Ijumaa wa Tabriz, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Dkt. Hossein Amir Abdollahian,…

Waziri wa Wanawake wa Zimbabwe katika mkutano wake na mama Khazali: Maendeleo ya wanawake wa Iran yalinifurahisha
Waziri wa Maendeleo, Wanawake na Masuala ya Kijamii na Biashara Ndogo na za Kati wa Zimbabwe akiwa katika kikao na Ansieh Khazali, Makamu wa Rais wa Iran katika Masuala ya Wanawake na Familia amesema: “Nimefurahishwa na maendeleo ya wanawake wa Iran na nina kushangazwa na hatua za serikali kuwawezesha wanawake.” “Ansieh Khazali”, Makamu wa Rais…