Shahsia Muhimu

Ufichuzi wa binti wa Abu Bakr al-Baghdadi kuhusu baba yake

Ufichuzi wa binti wa Abu Bakr al-Baghdadi kuhusu baba yake

Nilishtuka sana nilipomwona baba yangu kwenye runinga akitangaza ukhalifa wa ISIS kutoka Msikiti wa Al-Nuri huko Mosul. Kwa mujibu wa ripoti hii, baada ya kufichuliwa kwa “Asma Muhammad”, mke wa Abu Bakr al-Baghdadi, mtu ambaye aliutia hofu ulimwengu kwa miaka mingi, kuhusu mke wake na kuwekwa kwa ukhalifa wake wa kujitangaza kwenye eneo kubwa la…

Kuongezeka kwa vitisho dhidi ya waziri wa mambo ya nje wa Afrika Kusini kufuatia malalamiko dhidi ya “Israel”

Kuongezeka kwa vitisho dhidi ya waziri wa mambo ya nje wa Afrika Kusini kufuatia malalamiko dhidi ya “Israel”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Naldi Pandour anasema kwamba tangu hatua ya mashtaka dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya ya The Hague kutokana na mauaji ya halaiki yaliyofanyika mjini Gaza, vitisho vya kuuawa dhidi yake na familia yake vimeongezeka. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya kanali ya runinga ya…

Rais wa Namibia afariki dunia akiwa na umri wa miaka 82

Rais wa Namibia afariki dunia akiwa na umri wa miaka 82

Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki dunia mapema Jumapili ya leo ikiwa ni wiki kadhaa tu baada ya kugunduliwa kuwa na saratani. Ikulu ya Rais nchini Namibia imethibitisha habari ya kifo cha Rais wa nchi hiiyo na kueleza kuwa ni pigo kubwa kwa taifa hilo. Hage Geingob, aliyekuwa na umri wa miaka 82, ameongoza taifa…

Leo tunaweza kuona ubinadamu wote kama wanyonge ambao haujawahi kuonekana kama hii hapo awali: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Leo tunaweza kuona ubinadamu wote kama wanyonge ambao haujawahi kuonekana kama hii hapo awali: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – Januari 26, 2024 Hotuba ya pili (1) Kupanda Taqwa na adalat katika bustani hii Mwenyezi Mungu amemfanya Imam kuwa mtunza bustani. Katika istilahi ya Kurani Utume (Risalat) ni wajibu,…

Ayatullah Ramezani: Sheikh Zakzaky ni mfano halisi wa mujahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu

Ayatullah Ramezani: Sheikh Zakzaky ni mfano halisi wa mujahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu

Ayatullah Reza Ramezani, akielezea kufurahishwa kwake na kukutana na Sheikh Ibrahim Zakzaky na akizungumzia siku ambazo alikabiliwa na hujuma zisizo za kiutu na zilizo mbali na urijali na kufungwa jela, amemtaja Sheikh Zakzaky kuwa “mwanamageuzi wa kifungoni“. Huku akithamini juhudi za Sheikh Zakzaky nchini Nigeria za kueneza utamaduni wa Kishia, Ayatullah Ramezani amesisitiza kuuwa, Sheikh…

Kiongozi wa Mapinduzi: Utawala wa kihalifu wa Kizayuni ulipoteza sifa yake pamoja na utamaduni wa Magharibi / tufani ya Al-Aqsa ilikua dhidi ya utawala wa Kizayuni japo Amerika pia iliathirika

Kiongozi wa Mapinduzi: Utawala wa kihalifu wa Kizayuni ulipoteza sifa yake pamoja na utamaduni wa Magharibi / tufani ya Al-Aqsa ilikua dhidi ya utawala wa Kizayuni japo Amerika pia iliathirika

Akigusia athari za operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kua Hatua ya kikatili ya utawala wa Kizayuni iliyofanyika  dhidi ya watu wa Ghaza, imeondoa sifa na kuharibu muonekano wa nchi za Kimagharibi. Ayatullah Khamenei, ambaye ni Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema leo hii katika kikao chake pamoja…

Uchambuzi wa matumizi ya Netanyahu ya Torati katika hotuba zake kuhusu vita vya Gaza

Uchambuzi wa matumizi ya Netanyahu ya Torati katika hotuba zake kuhusu vita vya Gaza

Makala mapya ya utafiti katika Kituo cha Mafunzo ya Kiakili na Kistratejia nchini Misri yamechunguza malengo ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni katika matumizi ya dini katika safari zake za hivi karibuni. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alitoa taarifa kwa lugha ya Kiebrania na Kiingereza tarehe 25 mwezi uliopita ambapo alinukuu…

Ahadi ya Netanyahu kwa mungu wa Kizayuni ya kuandaa mazingira na uwanja wa kudhihiri kwa mwokozi wa Wayahudi

Ahadi ya Netanyahu kwa mungu wa Kizayuni ya kuandaa mazingira na uwanja wa kudhihiri kwa mwokozi wa Wayahudi

Netanyahu siyo mwanasiasa wa kawaida. Bali yeye sio hata kwa maana moja mkuu wa serikali hii iliyopita mipaka, kwa maana kwamba Naftali Bennett na Avigdor Lieberman ndio wanaofahamika kwa maana hii ya viongozi wa serikali. Ni dhahiri kuwa yeye ni mtu ambaye alitambulishwa na duru za madhehebu ya Kizayuni tangu umri mdogo na kiuhalisia walimtoa…