Ubahai

Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila natija mjini Cairo

Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila natija mjini Cairo

Mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza kwa upatanishi wa Misri, Qatar na Marekani yamemalizika bila natija huuko Cairo na ujumbe wa Hamas umeondoka katika mji mkuu huo wa Misri. Shirika la habari la Reuters, likiwanukuu maafisa wawili wa Misri, limeripoti kuwa mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas yamemalizika bila kupatikana matokeo yoyote…

Operesheni ya pamoja ya nchi tatu dhidi ya mbabe wa kivita wa Afrika

Operesheni ya pamoja ya nchi tatu dhidi ya mbabe wa kivita wa Afrika

Katika operesheni ya pamoja, nchi tatu za Afrika zililenga na kuharibu kambi za Lord’s Resistance Army (LRA) zinazoongozwa na Joseph Kony, mmoja wa wababe wa kivita wanaosakwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, likinukuu shirika la habari la AFP, jeshi la Uganda linalojulikana kama “People’s Defence Forces”…

Algeria: Jeshi letu liko tayari kusaidia Gaza

Algeria: Jeshi letu liko tayari kusaidia Gaza

Rais wa Algeria, Abdel Majid Taboun, alitangaza kuwa jeshi la nchi yake liko tayari kuwasaidia watu wa Gaza na kwamba wakati wowote mpaka kati ya Misri na Ukanda wa Gaza utakapofunguliwa, litakuwa na uwezo wa kujenga hospitali 3 ndani ya siku 20. Wakati wa kampeni zake za uchaguzi katika mkusanyiko wa wafuasi wake katika jimbo…

The Independent: 92% ya Waislamu wa Uingereza hawana amani

The Independent: 92% ya Waislamu wa Uingereza hawana amani

Uchunguzi wa maoni uliofanywa na kuchapishwa na gazeti la The Independent la Uingereza unaonyesha kuwa, asilimia 92 ya Waislamu wa nchi hiyo hawahisi kuwa na amani. Uchunguzi huo wa maoni unaeleza kuwa, asilimiia 92 ya Waislamu wanahisi kutokuwa amani kabisa ya kuishi nchini Uingereza. Kulingana na uchunguzi wa maoni uliofanywa na  shirika la Muslim Census…

Umoja wa Mataifa: Takriban asilimia 80 ya wakazi wa Sudan Kusini wanahitaji misaada ya kibinadamu

Umoja wa Mataifa: Takriban asilimia 80 ya wakazi wa Sudan Kusini wanahitaji misaada ya kibinadamu

Umoja wa Mataifa Jumatano ulionya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Sudan Kusini, ukisema karibu asilimia 80 ya wakazi wa nchi hiyo wanahitaji msaada wa kibinadamu. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA ya Alhamisi asubuhi kutoka kwa Anatoly, Adam Vosorno, mkurugenzi wa operesheni na usaidizi katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya…

Wafuasi wa Kizayuni Wenye njama ya kumpindua “Ilhan Omar” waongezeka

Wafuasi wa Kizayuni Wenye njama ya kumpindua “Ilhan Omar” waongezeka

Wafuasi matajiri wa Marekani wa utawala wa Kizayuni wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii, kwa lengo la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kumuunga mkono “Don Samuels” na kukabiliana dhidi ya Ilhan Omar; Muislamu na mgombea mpinga wa Kizayuni katika uchaguzi wa awali wa Chama cha Demokrasia nchini humo katika jimbo la Minnesota. Madhumuni…

Afisa wa zamani wa kikosi cha mauaji wakati wa utawala wa Jammeh atiwa nguvuni Gambia

Afisa wa zamani wa kikosi cha mauaji wakati wa utawala wa Jammeh atiwa nguvuni Gambia

Jeshi la Gambia limemtia mbaroni kamanda wa zamani ambaye alidaiwa kuwa mwanachama wa ‘kikosi cha mauaji” wakati wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh. Brigedia Jenerali Bora Colley anadaiwa kuwa alikuwa kiongozi wa kikosi cha wanamgambo kilichopewa jina la utani la “Junglers” ambacho kwa muda mrefu kilikuwa kimetuhumiwa na Umoja wa Mataifa na…

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa nchi yake inaunga mkono juhudi za Uturuki za kutafuta suluhu na amani kwa mizozo ya kimataifa. “Vilevile tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya watu wa Gaza,” asema Hassan. “Pia tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya…