Ansarullah: Vita vya Sudan ni mwendelezo wa vita vya Yemen / Msimamo mbaya wa Washington katika mazungumzo kati ya Riyadh na Sana’a
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa: Mgogoro wa Sudan ni sawa na mgogoro wa Yemen, na wale wanaopigana huko Sudan leo walipigana huko Yemen kabla ya hapo. “Mohammed Al-Bakhiti” alisema katika mahojiano na mtandao wa Al-Mayadeen kwamba mgogoro wa Sudan uko kando ya mstari wa mgogoro wa Yemen,…
Kuanza tena mashambulizi ya Wazayuni kwenye Msikiti wa Al-Aqsa baada ya Ramadhani
Mivutano mipya inazuka katika Msikiti wa Al-Aqsa sambamba na kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sababu ni kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel baada ya kukabiliwa na hatari ya kufunguka medani mpya za mapambano kutokea Gaza, kusini mwa Lebanon na Golan ya Syria kwa ajili ya kuzuia mashambulizi na uvamizi zaidi wa…
UN yafanya juhudi za usimamishaji vita wa kudumu nchini Sudan
Farhan Haq, naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali nchini Sudan inapaswa kudhibitiwa haraka iwezekanavyo, na kwamba Umoja wa Mataifa unafanya jitihada za kupatikana usitishaji vita wa muda mrefu zaidi nchini humo. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, matamshi hayo ya naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa yamekuja huku Katibu Mkuu…
Wanamambano kutoka Gaza walifanyia majaribio kombora la kutoka ardhini hadi angani
Vyanzo vya habari viliripoti majaribio ya kombora la kutoka ardhini hadi angani huko Gaza na vikosi vya upinzani. Vyanzo vya ndani vya Gaza vimeripoti leo (Alhamisi) jaribio la kombora la kutoka ardhini hadi angani katika anga ya eneo hili. Kwa mujibu wa Shahab News, kombora hili lilirushwa kuelekea baharini na baada ya hapo, sauti ya…
Meli ya Norway ikiwa njiani kwa ajili ya kuvunja kizuizi cha Gaza
Wanaharakati wa kimataifa na wafuasi wa taifa la Palestina wanapanga kutuma meli mpya katika Ukanda wa Gaza, kwa mara nyingine tena ili kuvunja vizuizi hivyo. Muungano wa “Freedom Fleet Coalition” umetangaza utayarifu wa meli mpya kuanza kusafiri kutoka bandari za nchi za Ulaya, ambayo itaanza safari yake kuelekea Ukanda wa Gaza katika mfumo wa juhudi…
Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba
Maelfu ya wananchi wa Sudan wanakimbia mapigano yanayoendelea nchini humo leo yakiingia katika siku ya sita baada ya kugongwa mwamba jitihada za kusitisha mapigano. Hii ni mara ya pili ambapo usitishaji vita unakiukwa huko Sudan kati ya jeshi la taifana kundi lenye nguvu la wanajeshi wa Kikosi cha Radiamali ya Haraka (RSF). Maelfu ya wakazi…
Mmoja wa makamanda wa utawala wa Kizayuni afutwa kazi baada ya kushindwa kumtia mbaroni kijana wa Kipalestina
Kamanda wa kitengo cha vikosi vya siri vya utawala wa Kizayuni alitimuliwa kwa kushindwa kumkamata kijana wa Kipalestina anayeishi Jenin na kuhatarisha maisha ya askari waliokuwa chini yake pasi na sababu. Shirika la habari la Sama la Palestina limenukuu gazeti la Yediot Aharonot na kuandika: Meja Jenerali Amir Cohen, Mkuu wa Polisi wa mpaka wa…
Ajali ya ndege isiyo na rubani ya jeshi la Kizayuni nchini Syria
Ndege isiyo na rubani ya Israel ilianguka nchini Syria. Msemaji wa jeshi la utawala huo ghasibu amesema: Ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala huu ilianguka ndani ya ardhi ya Syria. Alisema kuanguka kwa ndege hii isiyo na rubani jana usiku wakati wa operesheni za kawaida nchini Syria kulitokana na hitilafu ya kiufundi na…