Ubahai

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Baraza la Walinzi limetangaza katika taarifa yake kwamba vikosi vya muqawama vya Palestina na nchi za Kiislamu vimeungana zaidi kuliko ilivyokuwa hapo mwanzoni na kwamba, adui ambaye ni Mzayuni anakaribia zaidi dhana ya “kuporomoka” na “maangamizi” katika hali yake ya ukosefu wa utulivu. Kwa mujibu wa kambi ya habari ya Baraza la Walinzi, katika taarifa…

Mashauriano ya Bin Salman na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani yakizingatia Iran

Mashauriano ya Bin Salman na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani yakizingatia Iran

Mwanamfalme wa Saudia na mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani walijadili kuhusu Iran. Kwa mujibu wa al-Arabi al-Jadid, Ikulu ya White House ilitangaza kuwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani Jake Sullivan alikuwa na mazungumzo ya simu na Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman. Kwa mujibu wa ripoti hii, pande hizo mbili zilijadili…

Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani

Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani

Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani. Kwa mujibu wa shirika la habari la ISNA, Wapalestina waliuwekea mashinikizo utawala dhalimu wa Kizayuni baada ya wanajeshi wa Israel kuwavamia waumini waliokuwa kwenye ibada ya…

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaendelea kufanya ibada na itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu licha ya vizuizi vinavyopo, vilivyowekwa na vikosi vya kizayuni. Vyanzo vya habari vya ndani vilitangaza kuwa raia wa Palestina walifungua mfungo wao baada ya Swala ya Maghrib katika viwanja vya Msikiti wa Al-Aqswa na kuswali Isha…

Polisi nchini Kenya wakabiliana na waandamanaji wa upinzani huku huduma na biashara zikisimama

Polisi nchini Kenya wakabiliana na waandamanaji wa upinzani huku huduma na biashara zikisimama

Wapinzani nchini Kenya wamefanya tena maandamano leo dhidi ya serikali kwa ajili ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha. Maanadamano hayo yamefanyika tena leo baada ya upinzani kuapa kuwa maandamano hayo yatafanyika licha ya marufuku ya Jeshi la Polisi. Vikosi vyya usalama jijini Nairobi vimekabiliana na waandamanaji hao na kuwatawanya vikitumia mabomu ya gesi ya…

Simu ya Amir Abdullahian na Bin Farhan na hali ya kukata tamaa ya Wazayuni

Simu ya Amir Abdullahian na Bin Farhan na hali ya kukata tamaa ya Wazayuni

Mawasiliano ya simu ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Saudia na mapitio ya matukio ya hivi punde kuhusiana na makubaliano kati ya nchi hizo mbili na kuandaa mkutano wa pande hizo mbili katika mwezi wa Ramadhani. Ni msisitizo maradufu katika azma ya nchi hizo mbili ya kutekeleza makubaliano hayo ya…

Netanyahu amtoa kazini Waziri wa Vita

Netanyahu amtoa kazini Waziri wa Vita

Leo (Jumapili) Waziri Mkuu wa utawala unaoukalia kwa mabavu wa Kizayuni amemfukuza kazi waziri wa vita wa baraza lake la mawaziri. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alimfuta kazi Yoaf Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo. Kwa mujibu wa habari, ukosoaji wa Gallant dhidi ya mpango wa marekebisho ya mahakama wa Netanyahu…

Wanajeshi 2 wa Kizayuni wapigwa risasi mjini Nablus

Wanajeshi 2 wa Kizayuni wapigwa risasi mjini Nablus

Operesheni ya ufyatuaji risasi katika eneo la Hawara kusini mwa Nablus katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ilisababisha kujeruhiwa kwa wanajeshi 2 wa Kizayuni. Kwa mujibu wa ripoti, wanajeshi 2 wa Israel wamejeruhiwa katika operesheni ya ufyatuaji risasi hii leo (Jumamosi) katika eneo la Hawara kusini mwa Nablus lililoko katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa…