Kituo cha utafiti cha Bunge la Marekani: Machaguo yote ya kukabiliana na Iran yamegonga mwamba
Kituo cha Utafiti cha Bunge la Marekani kimekiri katika ripoti yake mpya kuwa, mikakati yote iliyotekelezwa na serikali mbalimbali za Marekani ili kuidhibiti Iran, ikiwa ni pamoja na “vikwazo vya kila upande, hatua za kiwango fulani za kijeshi, na mbinu za kidiplomasia” imefeli na kugonga mwamba. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Kituo…
Idadi ya Makombora zaidi ya 20 yarushwa kuelekea vituo viwili haramu vya Marekani mashariki mwa nchi ya Syria
Mwandishi wa idhaa ya “Al-Alam” nchini Syria aliripoti kuwa zaidi ya makombora 20 yalirushwa katika vituo 2 haramu vya Wamarekani huko Deir Ezzor iliyoko kaskazini mashariki mwa Syria. Siku ya Ijumaa usiku, zaidi ya makombora 20 yalirushwa katika vituo viwili haramu vya Marekani katika maeneo mawili ya mafuta “Al-Omar” na gesi “Konico” huko Deir Ezzor…
UN: Ongezeko la msako unaowaandama watetezi wa haki nchini Burundi linatia hofu kubwa
Ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema ina hofu kubwa juu ya ongezeko la msako dhidi ya watetezi wa haki nchini Burundi kufuatia kuswekwa korokoroni hivi karibuni kwa watetezi watano wa haki za binadamu na kufungwa jela kwa mwandishi wa habari. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswi, msemaji…
China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelalamikia vikali safari ya Bettina Stark-Wattsinger, Waziri wa Elimu wa Ujerumani katika Kisiwa cha Taiwan na kusisitiza kuwa inapinga safari rasmi ya waziri huyo katika kisiwa hicho kinachomilikiwa na serikali ya Beijing. Wakati huo huo, ubalozi wa China mjini London umelaani safari ya wabunge kadhaa wa Uingereza katika…
Maafisa wa Jeshi la Wanamaji wa Israel waliifunga barabara inayoelekea bandari ya Ashdod
Maafisa kadhaa wa jeshi la wanamaji wanaopinga mpango wa Netanyahu wa kudhoofisha mahakama walifunga barabara inayoelekea kwenye bandari ya Ashdod. Vyombo vya habari vya Kizayuni viliripoti kuendelea kwa maandamano katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu dhidi ya muswada wa “mageuzi ya mahakama” ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kutangaza kuwa leo (Alhamisi, Machi 23), wahitimu wa…
Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri juu ya matumizi mabaya ya mtandao katika vita vya Ghaza
Vita vya utawala wa Kizayuni na wakaazi wa Gaza mwaka 2021 vimezua kashfa mpya kwa jeshi la utawala huo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Associated Press, siku chache baada ya kuanza vita vikali vya utawala wa Kizayuni na wakaazi wa Ghaza mwaka 2021, jeshi la utawala huo ghasibu limeanza kupeleka askari wake katika…
Palestina yaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kumkamata waziri wa fedha wa Israel
Katika kujibu kauli ya waziri wa fedha wa Israel kwamba “hakuna kitu kama taifa la Palestina,” Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitoa wito kwa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu kumtia mbaroni. Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitangaza siku ya Jumatatu kuwa itaiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kumkamata, kujibu kauli ya…
Maandamano na ghasia Kenya: Mwanafunzi wa chuo kikuu auawa kwa kupigwa risasi
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Maseno alipigwa risasi jana Jumatatu na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga serikali yaliyoongozwa na Azimio la Umoja One Kenya. William Mayange, ambaye alipigwa risasi shingoni baada ya waandamanaji kuvamia kituo cha polisi cha Maseno, alitangazwa kufariki dunia alipofikishwa katika Hospitali ya Coptic. Polisi wamesema waandamanaji,…