Kura ya Alyoum: Biden hatoingia katika kamari hatari ya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran
Gazeti la ‘Raei Alyoum’ lilichapisha dokezo na kuandika kwamba ni kweli Washington na Tel Aviv zinaweza kupanga vita dhidi ya Iran; Lakini vita kama hivyo, vikianza, vitasimama tu na mwishowe mchokozi atakua ni mwenye kushindwa, na majibu ya Iran na washirika wake yatakuwa ni yenye uchungu mwingi. Gazeti la ‘Raei Alyoum’, kwa kuchapisha dokezo lililoandikwa…
Sababu za kumsajili Ronaldo katika Klabu ya Nasr ya Saudia
Faraan: Cristiano Ronaldo alijiunga na klabu ya Saudi Al-Nasr kwa mkataba wa euro milioni 200. Ijapokuwa kuajiriwa kwa wachezaji wa mpira kutoka nchi tofauti ni jambo la kawaida, lakini kuajiriwa kwa Ronaldo katika klabu ya al-Nasr ya Saudi Arabia kuna uchambuzi na uvumi wakivyake kulingana na macho ya watu wa Saudia na bila shaka maoni…
Vyombo vya habari vya Marekani vilitoa tahadhari kuhusu kuibuka kwa “vikosi vyenye hasira” nchini Saudi Arabia
Vyombo vya habari vya Marekani vilionya kuhusu kuibuka kwa makundi yenye hasira nchini Saudi Arabia kutokana na siasa za mwana mfalme wa nchi hio ambazo zimeegemezwa kwenye dhulma na ukandamizaji na kuenea kwa ufisadi na kudidimia kwa upande mwingine. Gazeti la “Los Angeles Times” liliandika katika uchunguzi: “Mtazamo wa ukandamizaji unaotumiwa na Mohammed bin Salman…
Waislamu wa madhehebu ya Kishia na nafasi yao ya kistratijiki duniani – Ali Akbar Raefipour
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Mtazamo wa ulimwengu wa waumini. Hotuba ya Bw. Raefipour Shiraz tarehe 21 Januari 2016 Niwaambieni kitu ambacho kitawapa mtetemeko katika uti wa mgongo, kama ambavyo ni muhimu kwetu sisi kukijua; Asilimia 70 hadi 80 ya mafuta ya dunia yako mikononi mwa Mashia. Narudia tena; asilimia…
Amerika na Uingereza zatoa onyo kwa raia wao kuhusu uwezekano wa mashambulizi mjini Islamabad
Ubalozi wa Marekani mjini Islamabad uliwaonya maafisa wake kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio dhidi ya raia wa Marekani katika moja ya hoteli kuu mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan. Wakati huo huo, kiwango cha tahadhari katika mji huo kimeongezeka kutokana na mashambulizi kadhaa ya kujitoa mhanga katika wiki hii. Kwa mujibu wa ripoti ya Reuters,…
Onyo hai la Yemen kwa Saudi Arabia; Dhoruba ya makombora inawangojea!
Mwanaharakati wa Yemen, kwa kutuma kipande cha picha ya vita kwenye ukurasa wake wa Twitter, aliwataka wavamizi wa Saudia kuondoka kabla hawachelewa. Sarmad Badil, mwanaharakati wa kisiasa na kijeshi wa Yemen, alitoa video na kuandika: “Vita vijavyo vitakuwa hivi, lakini vitazidi kuwa mbaya zaidi, ondoka kabla ya kuchelewa, muda unaenda.” Ni muhimu kuzingatia; Muhammad Ali…
Utawala wa Kizayuni wazamisha Ukanda wa Gaza Kwa kufungua njia za maji
Usiku wa kuamkia Jumamosi, utawala wa Kizayuni ulilowesha makumi ya nyumba na mamia ya hekta za ardhi ya kilimo katika eneo hilo kwa kufungua mifereji ya maji ya mvua nyuma ya ukanda wa mpaka ulioko mashariki mwa Ukanda wa Gaza. Shirika la habari la Palestina la “Ma’an” liliripoti, likinukuu chanzo cha ndani: “Mafuriko yaliyosababishwa na…
Norway inaangazia upya uwekezaji wa mabilioni juu ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Baada ya hatua ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kuongeza makampuni 112 kwenye “orodha nyeusi” kutokana na ushirikiano na utawala wa Kizayuni, serikali ya Norway inajaribu kuangalia upya uwekezaji wa mabilioni ya fedha katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Baada ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kuorodhesha makampuni…