
Upinzani wa bunge la Kizayuni dhidi ya kuundwa taifa la Palestina
Bunge la Knesset (Bunge) la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena lilipinga kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina. Wabunge wa Bunge la Kizayuni walipiga kura kupinga mpango wa kuanzishwa taifa la Palestina kwa wingi wa kura. Bunge la Kizayuni liliidhinisha mpango huo dhidi ya Palestina kwa wajumbe 68 wa bunge hilo akiwemo Benny Gantz,…

Je, ni mradi gani wa Marekani wa kukabiliana na upinzani wa Yemen?
Wakati huo huo, Amerika ilizindua mradi wa usalama wa kisiasa wa kudhoofisha Serikali ya Kitaifa ya Yemen ili kuamsha moto wa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi hii wakati huo huo na mashambulizi ya anga katika Hodeidah, Saada na Sana’a katika harakati za kuunga mkono Utawala wa Kizayuni. Sambamba na muendelezo wa operesheni ya…

Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi
Marekani na Umoja wa Ulaya zaichagua Kenya kujiunga na Ushelisheli katika kukabiliana na washukiwa wa baharini kando ya Bahari ya Hindi. Hii ni baada ya nchi kadhaa kuzua taharuki kutokana na vitisho vinavyotolewa na kundi la wa Houthi kutoka nchini Yemen na wengine kutoka Somalia. Kulingana na Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya, Kenya…

Jeshi la Sudan latupilia mbali usitishaji vita mwezi Ramadhani, lataka RSF iondoke kwenye maeneo ya raia
Jenerali mwandamizi wa Jeshi la Sudan, Yasser al-Atta, amesema hakutakuwa na usitishaji vita nchini Sudan katika mwezi mtukufu wa Ramadhani isipokuwa kundi la wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) litaondoka kwenye makazi na maeneo ya raia. Kauli hiyo inafuatia ombi la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kusitisha mapigano nchini Sudan…

Hamas ilitangaza kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa siku 4
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ilitangaza kufikiwa kwa makubaliano ya muda ya kusitisha mapigano ya siku 4 baada ya kipindi kirefu, kigumu na cha kuchosha cha mazungumzo na juhudi endelevu za Qatar na Misri. Kwa mujibu wa ripoti hii, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina “Hamas” ilitoa taarifa na kutangaza makubaliano…

Siku ya 40 baada ya operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa / idadi ya mashahidi kupitia uvamizi wa utawala wa Kizayuni nchini Palestina yafikia elfu 11 / askari wa utawala wa Kizayuni wawasili katika hospitali ya al-Shifa huko Ghaza.
Jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina, K.M.V mashambulizi katika maeneo ya makazi, na vilevile hospitali bado zinaendelea katika siku ya 40 baada ya operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa, kiasi kwamba wanajeshi wa Kizayuni wakiwa chini ya wingu kubwa la mashambulizi ya anga waliingia katika hospitali ya al-Shifa iliyoko Ghaza baada ya siku…

Kuidhinisha zana muhimu ya ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya utawala wa Kizayuni
Wataalamu wa masuala ya uchumi wa nchi za Kiarabu wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake vinapaswa kuwa vya kina na vya muda mrefu na kuwa kanuni na utamaduni wa jumla wa kuunga mkono kadhia ya Palestina. Gazeti la Al-Siyasah la Kuwait liliandika kuwa idadi kadhaa ya raia na wachumi…

Muqtada Sadr adai kufungwa kwa ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Kiongozi wa harakati ya Sadr nchini Iraq amechapisha makala akiiomba serikali na bunge la nchi ya Iraq ya kwamba watafute jinsi ya kufikia makubaliano ya kusitisha shughli za ubalozi wa Washington mjini Baghdad, kutokana na uungaji wake mkono usio na kikomo wa Marekani kwa jinai za kigaidi zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza…