Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Muungano wa Azimo One Kenya Raila Odinga aliitaka Mahakama ya Juu ya Kenya kutupilia mbali ushindi wa William…
Magaidi wa al Shabab waua raia wasiopungua 18 na kuchoma moto malori ya chakula katikati ya Somalia
Genge la kigaidi na ukufurishaji la al Shabab limeua raia wasiopungua 18 katika eneo la Hiran la katikati mwa Somalia na kuteketeza kwa moto malori yaliyokuwa yamesheheni chakula kwa ajili ya watu wenye njaa wa eneo hilo. Genge hilo lenye silaha lilianzisha mashambulizi katika eneo la Hiran katika jimbo la Hirshabelle la katikati mwa Somalia…
CNN: Saudia inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati
Televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza habari ya kukamatwa kete karibu milioni 47 za madawa ya kulevya nchini Saudi Arabia na kuongeza kuwa, nchi hiyo ya kifalme hivi sasa inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya mihadarati katika eneo la Mashariki ya Kati. Katika taarifa yake hiyo, televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza kwamba, siku ya…
Msafara wa baharini wa Lebanon waelekea mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu kulinda maliasili zake
Msafara wa majini wa Lebanon umeanza safari yake ya kuelekea mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa lengo la kulinda utajiri wa nchi hiyo wa maliasili za mafuta na gesi dhidi ya uporaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, msafara wa majini wa Lebanon ambao uliandaliwa…
Mkuu wa zamani wa jeshi la Kizayuni: Israel haiwezi kuishambulia kijeshi Iran
Mkuu wa zamani wa majeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shaul Mofaz amesema, Wairani ni watu werevu sana na wanao uwezo wa kuhakikisha wanapata haki zao za kinyukilia; na akakiri kwa kusema, Tel Aviv haina uwezo wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Tehran. Mofaz ameyasema hayo katika mahojiano na Kanali 12 ya…
Taliban: Hatuna mpango wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel
Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Taliban nchini Qatar amesema kuwa, kundi hilo halina mpango wa kuutambua rasmi utawala haramuu wa Israel. Mulla Muhammad Naeem amekanusha taarifa za baadhi ya vyombo vya habari vinavyoeleza kwamba, kundi la Taliban halina tatizo na nchi yoyote ile ukiwemo utawala ghasibu wa Israel na kubainisha kwamba, amenukuliwa vibaya kwani huo…
Kiongozi Muadhamu: Jamhuri ya Kiislamu ilirejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya Ahlu-Beiti (as) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo. Ayatullah Sayyiid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hayo leo alipoonana na wajumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Beiti (as)…
Israel imewaua Wapalestina zaidi ya 110 Mwaka huu
Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limeua Wapalestina zaidi ya 110 na kuwajeruhi wengine wengi hadi sasa mwaka huu. Katika taarifa, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Palestina, limesema “Hadi sasa mwaka huu, mashambulizi ya Jeshi la Utawala wa Israel yamewaua Wapalestina 111, watoto 24 na wanawake 8.” Aidha taarifa hiyo imebaini kuwa,…