Iran: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni msingi wa utulivu na usalama
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amesema utatuzi wa kadhia ya Palestina ndio msingi wa kuanzishwa utulivu na usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati), na kueleza kwamba mpango wowote unaopuuza haki za taifa la Palestina husababisha kukosekana utulivu na kuvuruga usalama wa eneo hilo. Bagheri Kani aliyasema hayo katika mkutano…
Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza
Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba…
Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais
Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni. Timu hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Mohammed Chande Othman. Wengine katika timu hiyo ya uangalizi wa kesi hiyo…
Wanawake Wapalestina wanateseka katika jela za Israel
Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Kipalestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki za binadamu yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel. Addameer, asasi isiyo ya kiserikali ya Wapalestina ambayo inafuatilia jinsi wafungwa wa Kipalestina…
Hali ya kusikitisha ya jela za utawala wa Kizayuni; Suluhisho la wafungwa wa Kipalestina kuepukana na hali hizi
Je, ni wangapi mfano wa Khalil Awade ambao wamo katika jela za utawala huo ghasibu na jela ngapi zinazoshuhudia ufidhuli wa askari wa gerezani wa Kizayuni na ukiukaji wa sheria za kimataifa; Hata hivyo, jumuiya ya kimataifa imekaa kimya mbele ya kiasi hiki cha uvamizi. Khalil Awadeh, mfungwa wa Kipalestina, katika jela za utawala huo…
Zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wa Somalia wapewa mafunzo na kikosi cha AU
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia kimetoa mafunzo na ushauri wa kiusalama kwa maafisa polisi 8,167 wa Somalia kikosi hicho kilipotumwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2009. Mkuu wa Polisi wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS), Rex Dundun amesema hayo na kuongeza kuwa, maafisa…
Muungano vamizi wa Saudia wazuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya Yemen
Shirika la mafuta la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeizuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya nchi hiyo. Mbali na kuiba mamilioni ya mapipa ya mafuta kutoka Yemen, muungano wa kijeshi wa Saudia umeshadidisha hali mbaya ya uhaba wa mafuta na fueli katika nchi hiyo masikini na iliyoathiriwa…
Takwimu mpya za kutisha zatolewa kuhusu jinai za Saudia nchini Yemen
Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza takwimu mpya za hasara roho na mali za watu zilizosababishwa na jinai za miaka minane ya vita vya kivamizi vya muungano wa nchi za Kiarabu wakiongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Mwaka 2015, Saudia na Imarati kwa baraka kamili za Marekani, nchi za Magharibi…