Ubeberu wa kimataifa

Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan

Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan

China imeionya vikali Canada na kusisitiza kuwa itachukua hatua madhubuti na za nguvu iwapo wabunge wa Canada watafanya safari ya kuitembelea Taiwan karibuni hivi. Taarifa ya Ubalozi wa China nchini Canada imesisitiza kuwa, safari tarajiwa ya Wabunge wa Canada katika eneo la Taiwan kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari wiki iliyopita, itakuwa na matokeo mabaya…

UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh. Noeleen Heyzer alitoa mwito huo Alkhamisi usiku katika siku ya nne ya safari yake ya kuitembelea Bangladesh na kusisitiza kuwa, Wabangladesh wameendelea kuwa wakarimu kwa wakimbizi Warohingya, na…

HAMAS: Jinai za Wazayuni haziwezi kusimamisha muqawama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

HAMAS: Jinai za Wazayuni haziwezi kusimamisha muqawama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, kujeruhiwa askari wa utawala dhalimu wa Israel katika mapigano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni ishara ya wazi ya sisitizo la vijana wa Kipalestina juu ya kupambana na uvamizi wa utawala ghasibu wa Israel Hazim Qassim amebainisha kuwa, vita na utawala…

Ziyad al-Nakhala: Katu hatutasalimu amri; adui anataka kutufanya watumwa

Ziyad al-Nakhala: Katu hatutasalimu amri; adui anataka kutufanya watumwa

Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, katu wananchi wa Palestina hawatasalimu amri mbele ya adui Mzayuni na kwamba, bendera ya Palestina itaendelea kupepea. Ziyad al-Nakhala, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amebainisha kuwa, lengo la adui ni kutufanya watumwa hivyo katu hatuwezi kusalimu amri. Kiongozi huyo mwandamizi wa Harakati ya…

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, kwa mara nyingine serikali ya Ujerumani imefeli katika juhudi zake za kutafuta gesi ya kufidia ile ya Russia. Huko nyuma vyombo hivyo vya habari viliripoti kufeli Ujerumani kununua gesi ya Qatar na sasa hivi vimeripoti kufeli tena baada ya kushindwa kuingiza nchini humo gesi kutoka Canada. Jana Jumatano shirika la…

Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya. Naye Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo…

Wazayuni wana kiwewe cha mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon

Wazayuni wana kiwewe cha mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon

Duru moja ya Kizayuni imethibitisha taarifa kuwa jeshi la Israel lina kiwewe cha kuingia vitani tena na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na kusisitiza kuwa, utawala huo unavichukulia kwa uzito mkubwa vitisho vya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah. Mtandao wa habari wa News1 wa Kizayuni umeripoti habari hiyo na kuongeza…

UK: Tuko tayari kutumia silaha za atomiki ikitulazimu

UK: Tuko tayari kutumia silaha za atomiki ikitulazimu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ambaye anatazamiwa kupanda ngazi na kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema serikali yake haitasita kutumia silaha za maangamizi za nyuklia, iwapo nchi hiyo italazimika kufanya hivyo. Liz Truss ambaye anaongoza katika mchuano wa kugombea kiti cha Waziri Mkuu wa Uingereza alisema hayo jana Jumanne mjini Birmingham katika mkutano wa…