Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465
Shirika linalochunguza mashambulizi ya anga ya kimataifa limefichua kuwa Marekani inaficha idadi halisi ya vifo vya raia nchini Somalia na kwamba idadi ya waliopoteza maisha katika nchi hiyo ya Afrika ni mara 30 zaidi ya ile iliyotangazwa na Pentagon. Kwa mujibu wa taarifa ya tovuti ya “Truthout”, mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia katika…
Kuendelea wizi na uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Syria
Wizi na usafirishaji kimagendo mafuta ya Syria ungali unaendelea kufanywa na wanajeshi wa Marekani na wanamgambo wenye mfungamano nao katika ardhi ya nchi hiyo. Tangu mwaka 2011, wakati Syria ilipolazimishwa kuingia kwenye vita vya kupambana na magaidi, mbali na Marekani kuyaunga mkono baadhi ya makundi ya magaidi hao imekuwa ikilipa kipaumbele pia suala la uporaji wa…
Zaidi ya nusu karne sasa tangu kufanyika jinai ya kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa
Jumapili ya jana tarehe 21 Agosti ilisadifiana na kutimia mwaka wa 53 tangu kuchomwa moto Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Wiaslamu, jinai ambayo ilifanywa na utawala vamizi wa Israel ambapo walimwengu walibakia kuwa watazamaji tu na kutoonyesha radiamali yoyote kwa kitendo hicho cha kinyama. Tarehe 21 Agosti 1969 Mzayuni mmoja aliuchoma moto…
Mazungumzo ya pamoja kwa njia ya simu ya wakuu wa Troika ya Ulaya na Biden kuhusu makubaliano na Iran
Wakuu wa nchi tatu za Ulaya, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza, walifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Biden siku ya Jumapili kuhusu mazungumzo na Iran na usalama wa vinu vya nyuklia vya Ukraine. Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, Kansela wa Ujerumani Olaf Schultz na Rais wa Marekani Joe Biden…
Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018
Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018. Ripoti iliyotolewa na chaneli ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya KAN 11 kuhusu mazungumzo yanayohusiana na makubaliano ya…
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa. Sheikh Ikrima Sabri amesema kuwa, moto katika Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu bado haujazimika. Akizungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka ambao Wazayuni walikichoma moto Kibla cha Kwanza cha Waislamu…
Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake
Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikao au mazungumzo yoyote yale ambayo yatalifanya taifa hili lilegeze kamba na kufumbia macho haki zake. Rais wa Iran amesema hayo leo katika mkutano wa 17 wa Siku ya Kimataifa ya Msikiti na kueleza kwamba, serikali inafanya kila iwezalo na kwa nguvu zake…
Kwa nini Iran haipaswi kuiamini Marekani?
Tarehe 20 Agosti ilisadifiana na kumbukumbu ya mapinduzi ya watu weusi wa Marekani dhidi ya serikali ya kitaifa ya Dk Mohammad Mossadegh nchini Iran, mapinduzi hayo yalikua chanzo cha mapinduzi ya Pisot mnamo mwaka 1953 na kumrejesha madarakani Shah. Tangu wakati huo hadi ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1970, Wamarekani walikua wakiingilia masuala…