IDMC: Kuna ongezeko kubwa la ukimbizi wa ndani unaosababishwa na migogoro duniani
Ripoti mpya ya Kituo cha Ufuatiliaji wa Ukimbizi wa Ndani (IDMC) inaonyesha kuwa migogoro na ghasia duniani zimesababisha ongezeko lisilo na kifani la idadi ya wakimbizi wa ndani kufikia mwisho wa 2023. Gazeti la Guardian linalochapishwa London nchini Uingereza, limenukuu taarifa ya Kituo cha Ufuatiliaji wa Ukimbizi wa Ndani (IDMC) chenye uhusiano na Baraza la Wakimbizi…
Kuthibitishwa ukweli wa utawala wa Kizayuni kutoweza kujilinda; matokeo muhimu ya vita vya Gaza
Wachambuzi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa wanaamini kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kujilinda bila ya msaada wa Marekani, na udhaifu wake katika uwanja huo umefichuka na kuanikwa peupe. Zaidi ya miezi 7 imepita tangu utawala wa Kizayuni uanzishe mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza. Katika kipindi hiki, karibu watu elfu…
Netanyahu ana mpango wa kubadilisha balozi wa Israel nchini Marekani
Gazeti moja la Israel limeripoti kuwa waziri mkuu wa utawala huu anapanga kumbadilisha kutokana na mzozo kati yake na balozi wa sasa wa Israel nchini Marekani. Gazeti la “The Times of Israel” limeripoti asubuhi ya leo (Ijumaa) kwamba waziri mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, hataongeza muda wa misheni ya Michael Herzog, balozi wa sasa…
Umoja wa Ulaya wasitisha shughli zake za kijeshi nchini Mali
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, huduma ya kidiplomasia ya Umoja wa Ulaya ilisema katika taarifa yake kwamba kazi ya mafunzo ya Umoja wa Ulaya itakamilika Mei 18 na haitarefusha muda huo. Kwa mujibu wa taarifa hii, kwa miaka 11, Umoja wa Ulaya ulitoa mafunzo kwa wanajeshi wa Mali na wanachama wa vikosi…
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wasema ‘mifumo yenye nguvu zaidi’ imeshindwa kukabiliana na Wayemen
Kamanda wa operesheni za kikosi cha wanamaji cha Umoja wa Ulaya amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa kijeshi wa Yemen katika eneo la Bahari Nyekundu. Katika mkutano wa siri na wawakilishi wa kidiplomasia wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels wiki iliyopita, Kamanda Vasileios Gryparis, raia wa Ugiriki ameelezea wasiwasi wake juu ya uwezo wa vikosi vya…
Al Jazeera inalaani uamuzi wa serikali ya Israel kufunga ofisi zake katika eneo hilo
Baraza la mawaziri la Israel limepitisha kwa kauli moja mswada wa kufunga shughuli za shirika la Al Jazeera nchini Israel haraka iwezekanavyo. Mtandao wa Vyombo vya Habari wa Al Jazeera umelaani uamuzi wa serikali ya Israel wa kufunga shughuli zake nchini Israel kama “kitendo cha uhalifu” na kuonya kwamba ukandamizaji wa nchi hiyo wa vyombo…
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda akiwemo Spika wa Bunge
Uingereza imewawekea vikwazo na marufuku ya kusafiri wanasiasa kadhaa wa Uganda akiwemo spika wa bunge la nchi hiyo Anita Among kufuatia madai ya ufisadi. Serikali ya Uingereza imesema hii ni mara ya kwanza kutumika kwa sheria yake mpya ya kimataifa ya vikwazo dhidi ya ufisadi kwa watu wanaokabiliwa na madai ya ufisadi nchini Uganda, na…
Wanajeshi wa Marekani wazidi kujiondoa kutoka kwenye bara la Afrika
Sambamba na ushawishi mkubwa wa Urusi barani Afrika, vyombo vya habari vilitangaza kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani kutoka nchini Chad siku ya Jumamosi. Vyombo vya habari viliripoti Jumamosi kwamba wanajeshi wa Marekani wanatazamiwa kuondoka katika nchi hiyo ya Kiafrika baada ya kuzorota kwa uhusiano. Kwa mujibu wa tovuti ya “Hale”, wakati huo huo ushawishi wa…