AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Umoja wa Afrika (AU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina. Katika taarifa jana Jumapili, Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Moussa Faki Mahamat amesema kushambuliwa raia na kuendelea kukaliwa kwa mabavu maeneo ya Palestina na…
Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza
Siku tatu za mashambulizi ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa Hayo yameripotiwa baada ya mapatano ya usitishaji vita kutangazwa kuanzia saa tano usiku jana Jumapili kwa saa za Gaza (20:30 GMT). Tangu Ijumaa, utawala wa Kizayuni wa Israel…
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni. Sayyid Hassan Nasrullah amesema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, “Napongeza uthubutu wa Palestina kujibu mapigo, kwa…
Zelensky Ashutumu Shirika La Amnesty Kwa Kutuhumu Wanajeshi Wake
FARAAN: Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelishutumu shirika la Amnesty International kwa kudai wanajeshi wa nchi hiyo wanahatarisha maisha ya raia wanapopambana na uvamizi wa wanajeshi wa Urusi. Shutuma hizo dhidi ya Amnesty zinajiri wakati ambapo meli nyingine tatu zilizobeba tani 58,000 za nafaka zikitarajiwa kuondoka bandari za Bahari Nyeusi – Black Sea. Shehena hiyo…
Ukaidi wa Tel Aviv juu ya muendelezo wa mashambulizi
Sambamba na siku ya tatu ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza, muqawama ya Palestina bado inaendelea kurusha makombora katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza na mji wa Quds unaokaliwa kimabavu. Duru za hivi punde ni kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza yalianza…
HAMAS: Jihadi na mapambano yataendelea hadi kitakapokombelewa Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa tamko rasmi na sambamba na mkono wake wa pole kufuatia kuuwa shahidi Khalid Mansour, mmoja wa makamanda wa Brigedi za Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihad al Islami ya Palestina, imesema kuwa, mapambano yataendelea hadi utakapokombolewa Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha…
Watoto 6 ni katika Wapalestina 24 waliouliwa kikatili na Wazayuni tangu Ijumaa
Idadi ya Wapalestina waliouliwa shahidi katika jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni huko Ghaza imeongezeka na kufikia watu 24 wakiwemo watoto wadogo sita. Utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo bila kiwewe, ulianzisha mashambulizi makubwa juzi Ijumaa dhidi ya maeneo ya makazi ya watu huko Ghaza na hadi leo Jumapili, mashambulio hayo yanaendelea. Wizara ya…
Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina
Ijumaa alasiri, jeshil la utawala wa kigaidi wa Israel lilitekeleza jinai kubwa dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulizi yaliyopewa jina la “Operesheni ya Alfajiri”, katika maeneo yanayodhibitiwa na harakati ya Palestina ya Jihad Islami katika Ukanda wa Gaza. Katika jinai hiyo ya utawala wa Kizayuni, Wapalestina 12 akiwemo mtoto wa miaka 5, pamoja na Taysir al-Jabari,…