Wazayuni: Jihad al Islami imeweka tayari zaidi ya makombora 3000 yakisubiri kufyatuliwa tu
Duru za Kizayuni zimedai kuwa, Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina imeweka tayari kwa ajili ya kufyatuliwa makombora zaidi 3000 baada ya kiongozi wake mmoja kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Mapema Jumanne asubuhi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni waliivamia kambi ya wakimbizi ya Jenin na kumuua shahidi Mpalestina mmoja na kumteka…
Jihad Islami yavurumisha makombora Israel baada ya kamanda wake kuuawa
Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imevurumisha makombora zaidi ya 100 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel ikiwa ni katika kulipiza kisasi hatua ya utawala katili wa Israel ya kumuua kamanda wa ngazi za juu wa harakati hiyo. Jihad Islami imesema makombora hayo yaliyovurumishwa usiku wa kuamkia leo ni hatua ya awali…
Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza. Sayyid Ebrahim Raisi amesema hayo leo Jumamosi hapa mjini Tehran na kuongeza kuwa, “Katika jinai zake za jana usiku, utawala wa Kizayuni kwa mara…
Msaada wa kimataifa kwa Wapalestina dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni
Sawia na kulaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza, nchi na taasisi mbalimbali za kimataifa zimedai hatua ya jumuiya ya kimataifa ya kuwaunga mkono Wapalestina. Mashambulio ya kinyama na ya jinai ya utawala wa muda wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ambayo yamesababisha mashahidi wasiopungua 10 na wengine 75 kujeruhiwa, yaliambatana na…
Syria yataka mpango wa nyuklia wa Israel uwe chini ya usimamizi wa IAEA
Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitizia ulazima wa vituo vya nyuklia vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa chini ya ukaguzi na usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA. Bassam al-Sabbagh ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa katika mkutano wa kuupitia upya mkataba wa kupiga marufuku uundaji na uenezaji…
Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7
Mamia ya raia wameuawa na askari polisi wa Marekani tokea mwanzoni mwaka huu 2022 hadi sasa, huku duru mbalimbali zikiendelea kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia hususan Wamarekani wenye asili ya Afrika. Utafiti wa kufuatilia mienendo ya polisi ya Marekani umefichua kuwa, raia zaidi ya 700 wameuawa katika miezi saba ya…
Palestina yaongeza kasi ya kampeni ya kupigania uanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa
Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuomba Palestina kupatiwa uanachama kamili wa umoja huo. Novemba 29, mwaka 2012 Umoja wa Mataifa uliikubali Palestina kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Anadolu, Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya…
Poland: Nishati ya amani ya nyuklia ni haki ya kimsingi ya mataifa yote duniani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland ameyalaumu madola yaliyohodhi nguvu za nyuklia duniani na kusema kuwa, inabidi mataifa ya dunia yashirikiane pamoja kufaidika kwa njia za amani na nguvu za atomiki na kusitumiwe vikwazo kama njia ya kuyazuia baadhi ya mataifa kufaidika na haki yao hiyo. Marekani iko mstari wa mbele kuziwekea vikwazo nchi…