Ubeberu wa kimataifa

Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS zimetoa taswira, sambamba na kuwahutubu Wazayuni kwamba: viongozi wa utawala wa Kizayuni wanakuambieni uongo kuhusu mateka. Julai 2014, Brigedi za Izzuddinl-Qassam zilitangaza kuwa zimemkamata mateka Shaul Aron askari wa Kizayuni katika vita vya siku 51; na utawala wa Kizayuni ukatangaza…

Iran: Mpango wa kijeshi wa nyuklia wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia

Iran: Mpango wa kijeshi wa nyuklia wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema ustawi wa mpango wa kijeshi wa nyuklia wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuendelea kukataa utawala huo vituo vyake vya nyuklia vikaguliwe na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ni tishio kubwa kwa usalama wa kimataifa. Nasser Kan’ani Chafi, Msemaji wa Wizara…

Russia yaionya Marekani, NATO kuhusu kuipa Ukraine silaha

Russia yaionya Marekani, NATO kuhusu kuipa Ukraine silaha

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov ameionya vikali Marekani na nchi wanachama wa muungano wa kijeshi wa NATO kuhusu kuendelea kuipa Ukraine silaha na kusema hatua hiyo itarefusha vita na kuzidisha machungu. Lavrov aliyasema hayo Ijumaa katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, katika mazungumzo…

Iran inaunga mkono kikamilifu sera ya ‘China Moja’, inapinga ‘uharibifu’ wa Marekani

Iran inaunga mkono kikamilifu sera ya ‘China Moja’, inapinga ‘uharibifu’ wa Marekani

Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema kuheshimiwa mamlaka ya kitaifa na kulindwa mipaka ya ardhi ya nchi ni miongoni mwa kanuni za kimsingi za sera za kigeni za Tehran huku akitangaza uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa sera ya China Moja kuhusiana na Taiwan. “Uungaji mkono kwa sera ya China Moja ni sera…

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel

Wizara ya Intelijensia ya Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya utawala wa Israel katika miezi ya hivi karibuni sambamba na kuzima idadi kubwa ya njama za utawala huo wa Tel Aviv na waitifaki wake magaidi dhidi ya Iran. Waziri wa Intelijensia Esmail Khatib ameyasema hayo Jumatano mjini Tehran katika mkutano na Spika wa Majlisi…

Sana’a: Mzingiro dhidi ya Yemen unazuia kurefushwa muda wa usitishaji vita

Sana’a: Mzingiro dhidi ya Yemen unazuia kurefushwa muda wa usitishaji vita

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Sana’a amelaani kuzingirwa wananchi wa Yemen na kuitaja hatua hiyo kuwa inazuia kurefushwa muda wa usitishaji vita nchini humo. Usitishaji vita uliofikiwa kati ya serikali ya Sana’a na muungano vamizi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudia ulianza kutekeleza Aprili Pili; na Hans Grundberg Mjumbe wa Umoja…

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi. Kwa mujibu wa chaneli ya televisheni ya NDTV ya India, waziri wa ulinzi wa India Rajnath Singh, ambaye jana Jumatatu alitembelea eneo la Jamu na Kashmir alidai kwamba, Kashmir iliyo…

Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah

Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini. Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah amesema hayo katika mahojiano na televisheni ya al-Mayadeen yaliyorushwa jana usiku kwa mnasaba…