Ubeberu wa kimataifa

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Haya yalikuwa ni maoni na mawazo ya mmoja wa Wanasiasa wa Tanzania kuhusu Palestina na Israel.   Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro amesema Tanzania haitaitenga Israel katika mchakato wa kusaka amani katika mgogoro wake na Palestina. Hivi karibuni Balozi wa Palestina nchini Tanzania,…

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi

Katika kujibu maneno ya Dakta Kamal Kharrazi Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran na Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Sera za Kigeni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel amezungumzia kile amekitaja kuwa tishio la Iran na chaguo la kijeshi na kusema chaguo…

Silaha za Kizayuni zilizosafirishwa kwenda Morocco; Kutoka Pegasus miongoni mwazo; ndege zisizo na rubani

Silaha za Kizayuni zilizosafirishwa kwenda Morocco; Kutoka Pegasus miongoni mwazo; ndege zisizo na rubani

Gazeti la Kizayuni lilifichua habari kuhusiana na kiwango na aina ya silaha zinazosafirishwa kwenda Morocco, sawia na safari ya Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la utawala huo alipotembelea nchi ya Morocco. Wakati huo huo Aviv Kokhavi, Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Kizayuni alitembelea nchi ya Morocco siku ya Jumatatu mnamo wiki hii, hii ikiwa…

‘Ushindi wa Palestina ni ushindi wa dunia’

‘Ushindi wa Palestina ni ushindi wa dunia’

BALOZI wa Palestina hapa nchini, Dk Nasri Abujaish amesema ushindi iliyoupata nchi yake baada ya kupigiwa kura na hatimaye kuipandisha hadhi ni ushindi wa dunia nzima katika kupigania haki za binadamu, uhuru na amani. Dk Abujaish aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za ubalozi huo, zilizopo Upanga ,jijini Dar es…

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Haya ni maneno ya Baraza la Kuu la waislamu Tanzania (Bakwata) wakionyesha mshikamano wao na Waislamu wenzao wa Palestina.Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka Waislamu wote nchini kuitumia sala ya Ijumaa kufanya dua maalumu kuliombea Taifa la Palestina lenye mgogoro dhidi ya Israel. Mbali na hilo, amewataka pia kufanya dua ya…

Putin mjini Tehran; Makubaliano ya kimkakati na kutafuta usaidizi wa kukwepa vikwazo

Putin mjini Tehran; Makubaliano ya kimkakati na kutafuta usaidizi wa kukwepa vikwazo

Gazeti la Qatar lachapisha kidokezo kinachotoa uchambuzi wa vipimo vya mikakati ya ziara ya kwanza ya rais wa Urusi mjini Tehran katika zama za urais wa Sayed Ibrahim Raisi. Katika kizingiti cha safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran  akihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi tatu akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Iran Ebrahim…

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu ili kukabiliana na vikwazo ambavyo benki za nchi hiyo zimewekewa na Wamagharibi. Gazeti la kila siku la Kirusi la Kommersant limeripoti kwamba huduma za Kiislamu za kifedha zitatolewa katika fremu ya Mashirika ya Ubia…

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Haya ni maneno ya Balozi  wa Palestina nchini Tanzania  alipowaita Watanzania kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina. Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini umewakaribisha Watanzania kufanya tafiti zaidi kuhusu mgogoro wa Mashariki ya Kati ili kujua ukweli wa historia kati ya Israel na Palestina. Wito huo umetolewa na balozi wa Palestina nchini, Hamdi Mansour AbuAli…