Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake
Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu. Siku ya Alkhamisi iliyopita, utawala wa Kizayuni ulipitisha vipengele viwili vya makubaliano yanayohusiana na visiwa viwili vya…
Mkutano wa Jeddah ni mchanganyiko kati ya utawala wa Marekani na uhalalishaji wa Waarabu
Mtu fulani alisema kuhusu mkutano wa Jeddah: Waarabu hawakuunganishwa na udugu wao, dini yao, Uarabu wao, utamaduni wao, historia yao, jiografia, kushindwa au kukatishwa tamaa, lakini Biden aliwaleta pamoja nchini Saudia. Kila mmoja wa viongozi wa Kiarabu aliyekutana na Rais wa Marekani Joe Biden leo hii katika mji wa Jeddah wa Saudi Arabia aliwasilisha malengo…
ZITTO AMSHUTUMU MAHIGA KUSHIRIKIANA NA ISRAEL
Maneno ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) baada ya Tanzania kuanziasha na Isreal Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), ameshutumu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga kushirikiana na Israel wakati nchi hiyo inawanyanyasa Wapalestina. Amesema kwamba uamuzi wa Waziri Mahiga kushirikiana na nchi hiyo haukubaliwi…
mauaji ya Jamal Khashogchi; Kanusho la kitoto la Bin Salman na idhini kutoka kwa ‘baba’ Biden
Wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia, Rais Biden aliwahi kuahidi kuivunja safari hiyo kwa sababu ya mauaji ya kutisha ya Jamal Khashogchi na kulingana na taarifa Bw. Biden alipokutana na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, alikana kuhusika na mauaji haya. Rais wa Marekani Joe Biden, baada ya kusalimiana na Mrithi wa Ufalme wa…
Jen. Shekarchi: Marekani, Israel zinajua vyema gharama ya kuitishia Iran
Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinatambua vizuri kile ambacho kitawafika iwapo zitathubutu kutelekeza kivitendo vitisho vyao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu. Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi, Msemaji wa Jeshi la Iran amesema ukongwe wa Rais Joe Biden na tabia yake ya kupenda kulala ndiyo imempelekea atumie lugha…
Saudi Arabia yafungua anga zake kwa ndege za utawala wa Kizayuni
Vyanzo vya habari viliripoti Leo hii asubuhi kwamba Saudi Arabia imefungua anga zake kwa njia zote za usafiri wa anga. Vyanzo hivyo vimeripoti kuwa Saudi Arabia imefungua anga yake kwa njia zote za usafiri wa anga zinazozingatia kanuni za anga za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ya Reuters, Kurugenzi Kuu ya Usafiri wa Anga…
UN iishinikize Israel isitishe mauaji ya kiholela ya raia Wapalestina
Kundi moja la kutetea haki za binadamu limeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe sera za kutumia mabavu ambayo hupelekea idadi kubwa ya Wapalestina kupoteza maisha. Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Monitor limemtumia barua Morris Tidball-Binz, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji nje ya mkondo wa…
Makubaliano ya utawala wa Kizayuni ya kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vya Misri
Utawala wa Kizayuni umeafiki mpango wa jumla wa kuikabidhi nchi ya Saudi Arabia visiwa viwili vya Misri. Shirika la Habari la Kimataifa la Fars limetoa ripoti kua; tovuti ya Marekani imeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni umeafiki mpango wa jumla kuhusu hadhi ya kisheria ya visiwa viwili vya Misri katika Mlango wa Bahari wa Tiran. Hatua…