Ubeberu wa kimataifa

Tahadhari ya UN kuhusu maafa ya binadamu huko Ukanda wa Gaza

Tahadhari ya UN kuhusu maafa ya binadamu huko Ukanda wa Gaza

Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba kuzingirwa kwa miaka 15 kwa Ukanda wa Gaza kumesababisha maafa makubwa katika eneo hilo. Tangu mwaka 2006 utawala wa Kizayuni wa Israel umeliweka eneo la Ukanda wa Gaza chini ya mzingiro wa pande zote. Sababu kuu ya mzingiro wa utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza ni…

Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

Mjumbe mwanamke wa chama cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington ya kuipa Ukraine msaada mkubwa wa kijeshi na kuisaidia nchi hiyo katika kile alichokiita vita vya niaba dhidi ya Russia. Mbunge huyo wa Georgia, Marjorie Taylor Greene amesema hayo katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kueleza kuwa:…

Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa ujumbe wa Twitter kwa mnasaba wa kukumbuka jinai ya meli ya kivita ya Marekani iliyotungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ghuba ya Uajemi. Ujumbe huo umeambataisha taarifa za jinai hiyo ya kuogofya na kuwaenzi waliouawa shahidi katika tukio…

Siasa za kundumakuwili za Wamagharibi katika mgogoro wa Ukraine

Siasa za kundumakuwili za Wamagharibi katika mgogoro wa Ukraine

Vita vya Ukraine vimeingia katika mwezi wake wa tano. Siasa za kundumakuwili za Wamagharibi kuhusu mgogoro huo hadi sasa zimesababisha mdororo mkubwa wa uchumi, ungezeko kubwa la umasikini katika mamilioni ya familia duniani, vifo vya makumi ya watu na vilevile kusababisha mamilioni ya watu huko Ukraine kuwa wakimbizi. Kupungua akiba ya mafuta ya kimkakati ya…

Ilhan Omar: Minnesota ina machafuko makubwa zaidi kuliko kambi ya wakimbizi Wasomali ya Dadaab

Ilhan Omar: Minnesota ina machafuko makubwa zaidi kuliko kambi ya wakimbizi Wasomali ya Dadaab

Mbunge Muislamu mwenye asili ya Somalia anayewakilisha jimbo la Minnesota katika Baraza la Wawakilishi Marekani amesema, kiwango cha machafuko ya kutumia silaha moto katika jimbo hilo ni kikubwa zaidi kuliko cha kwenye kambi ya wakimbizi Wasomali aliyokuwa akiishi zama za utotoni. Ilhan Omar ambaye alikuwa akihutubia hadhara ya watu wa jimbo lake kuhusiana na machafuko…

Ukraine yalaumiwa kwa kutumia wanawake kama ngao ya vita

Ukraine yalaumiwa kwa kutumia wanawake kama ngao ya vita

Wanajeshi wa Ukraine wanawatumia wanawake kama ngao za binadamu katika maeneo mbalimbali ya vita. Ripoti zinasema, wakati maisha ya kawaida yakianza kurejea katika maeneo ya Donbas, baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wamefichua na kutoa maelezo mapya kuhusu jinsi jeshi la Ukraine linavyotumia binaadamu, hasa wanawake, kama ngao za kujikinga na vita. Wakazi wa maeneo hayo wamesema…

Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet limesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua mamilioni ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara, na wala havikuanza tu peke yake. Jeffrey Sachs, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Covid-19 katika shirika la Lancet amesema, “Kwa mtazamo wangu, Covid-19 haikutoka katika hifadhi fulani asilia, bali ilitoka…

Rais wa Russia ajibu vikali maneno ya upuuzi ya waziri mkuu wa Uingereza

Rais wa Russia ajibu vikali maneno ya upuuzi ya waziri mkuu wa Uingereza

Rais Vladimir Putin wa Russia amejibu kauli za kipuuzi na upayukaji za waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson alizotoa dhidi yake pembeni ya mkutano wa nchi wanachama wa G7. Akimjibu Johnson aliyedai kwamba kama yeye Putin angelikuwa mwanamke katu asingeishambulia kijeshi Ukraine, rais huyo wa Russia amemkumbusha waziri mkuu wa Uingereza kuwa, shambulio la kijeshi…