
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine.
Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo. Sputnik imeripoti kuwa, shirika la ujasusi la CIA linasajili magaidi wa ISIS katika magereza au maficho yao eneo la Asia Magharibi ili kuwapeleka kupigana Ukraine kama mamluki. Ripoti hiyo inakuja…

Je ni kipi kilichotokea wakati wa mkutano kati ya Ibrahim Raisi na Vladimir Putin?
Katika kikao na Rais wa Iran Ayatullah Sayyed Ibrahim Raisi, Rais wa Russia amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Moscow na Tehran ni wa kina na wa kistratijia, na nchi hizo mbili ziko katika mawasiliano ya mara kwa mara katika maingiliano ya kisiasa na masuala ya usalama, na nchini Syria wanaukaribu mkubwa wakikazi.” Idhaa ya habari…

Biden atangaza uimarishaji wa jeshi la Amerika barani Ulaya
Rais wa Marekani alisema katika mkutano wa NATO mjini Madrid kwamba Marekani itaongeza uwepo wake wa kijeshi barani Ulaya ikiwa ni sehemu ya kuongeza uwezo wa kiulinzi wa muungano huo wa Magharibi. Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Jumatano alitangaza ongezeko la vikosi vya NATO barani Ulaya vinavyoongozwa na Marekani, akisema kuwa muungano huo…

Ebrahim Raisi akutana na Vladimir Putin, Ashgabat
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anakutanza na mwenzake wa Russia Vladimir Putin katika kikao kitakachofanyika katika mji mkuu wa Turkmenistan, Ashgabat. Kwa mujibu wa taarifa mshauri wa rais wa Russia katika sera za kigeni Yuri Viktorovich Ushakov amesema Rais Putin leo atashiriki katika kikao cha viongozi wa Nchi za Pwani ya…

UN: Uchunguzi ufanyike kuhusu mauaji ya Waafrika mpakani mwa Morocco na Hispania
Umoja wa Mataifa umesikikitishwa na vifo vya Waafrika 23 na wengine zaidi ya 76 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuvuka mpaka kati ya Morocco na Hispania ili kwenda barani Ulaya kupitia mpaka wa Mellila na Ceuta. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Ravina Shamdasani akiwa mjini Geneva Uswisi…

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Ushindi ndio matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran na maafisa na wafanyakazi wa chombo hicho akisema matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui ni kupata ushindi na maendeleo. Katika kikao hicho, Ayatullah Ali Khamenei amefafanua kanuni zisizobadilika za Mwenyezi Mungu katika jamii na kusema: Sababu ya ushindi wa kustaajabisha…

Uingereza yaiwekea Urusi vikwazo vipya
Uingereza yaiwekea Moscow vikwazo vipya huku mgogoro baina ya mataifa ya Magharibi na Urusi ukiongezeka. Huku mivutano kati ya wamagharibi na Moscow kuhusu Ukraine ikiendelea, vyombo vya habari viliripoti siku ya Alhamisi ya kwamba serikali ya Uingereza imeongeza idadi ya vikwazo kwa Urusi. Kwa mujibu wa ripoti nyingine za vyombo vya habari vya Uingereza na…

Saudia yazidi kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen
Muungano vamizi Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 40 katika mkoa wa al Hudaidah. Makundi ya Yemen yalisaini makubaliano ya kusitisha vita katika mkoa wa al Hudaidah kupitia mazungumzo ya Disemba 13 mwaka 2018 huko Stockholm Sweden, hata hivyo muungano vamizi wa Saudi Arabia na washirika wake tangu wakati huo umekiuka mara…