
Trump aonya kua Biden ataielekeza kadhia ya Ukraine kwenye Vita Vikuu vya Dunia
Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump amemtuhumu rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa hana uwezo katika uendeshaji uchumi wa nchi na kusema kuwa katika kadhia ya Ukraine, kiongozi huyo anaielekeza Marekani kwenye Vita Vikuu vya Dunia. Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Trump ameyasema hayo katika mahojiano na tovuti ya habari ya Newsmax,…

Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Pamoja na hayo na licha ya kupita takribani miaka miwili na nusu tangu kutolewa ahadi hizo, utendaji wa serikali ya Marekani wenye mgongano katika…

Tel Aviv inasubiri kilichoandaliwa na Marekani kwa ajili ya maelewano ya kikanda
Waziri wa vita wa Israel Bani Gantz amesema Israel na mataifa ya Ghuba ya Kiarabu, Misri na Jordan yanatarajiwa kufanya kazi pamoja sio tu katika kukabiliana na Iran, bali wanapaswa kuunda nguvu ya kikanda inayoongozwa na Marekani ili kuimarisha nguvu za pande zote zinazohusika, na jitihada zinafanywa kupanua ushirikiano huu. Akielezea wakati wa kuimarishwa kwa nguvu…

Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran zinatoa kipaumbele juu ya kuimarisha uhusiano na majirani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano na mataifa jirani. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hayo leo katika mazungumzo yake na Rais Serdar Berdimuhamedow wa Turkmenistan na kuongeza kuwa: Kuimarisha uhusiano wa pande mbili na…

Yemen yaahidi kushambulia vituo vya mafuta vya Saudia endapo itaendelea kuiba mafuta yao
Ofisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la Yemen vitashambulia vituo vya mafuta ndani kabisa ya Saudi Arabia, iwapo muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Riyadh utaendelea kupora mafuta wa Wayemen. Mohammad Tahir Anam, mshauri wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema vikosi vya Yemen havitakaa kimya na kuruhusu…

Ugiriki yaachilia huru meli ya mafuta ya Iran baada ya kukiuka amri ya Marekani
Serikali ya Ugiriki imebatilisha uamuzi wake wa hivi karibuni wa kuteka meli moja ya mafuta ya Iran na hivyo kukaidi mashinikizo ya Marekani ambayo ndiyo iliyoamuru meli hiyo ikamatwe. Kwa mujibu wa taarifa ya Jumanne ya Shirika la Bandari na Usafiri wa Baharini la Iran, serikali ya Ugiriki imeamuru meli hiyo iachiliwe pamoja na mzigo…

Ujumbe maalum kutoka kwa Kim Jong Un kwa Rais Vladimir Putin
Katika salamu za pongezi kwa rais wa Urusi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kitaifa ya nchi hiyo, rais wa Korea Kaskazini ameeleza kuwa anaunga mkono kikamilifu nchi ya Urusi. Katika barua yake katika Siku ya Kitaifa ya Urusi siku ya Jumapili, Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alionyesha uungaji mkono wake kikamilifu kwa…

Madai ya London: Urusi inalenga kupenya ndani kabisa ya jimbo la Donetsk
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilidai kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa likipinga hatua ya Urusi kusonga mbele, na kusema kua Moscow ilikuwa ikijaribu kuiteka Sverodontsk. Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Urusi akitangaza kwamba vikosi vyake vinasonga mbele mashariki mwa Ukraine na kuchukua udhibiti wa maeneo 15 muhimu, London ilidai kwamba Warusi walikuwa wakijaribu…