
Putin: Tumeizuia Ulaya kuivamia Russia kwa kuanzisha oparesheni ya kijeshi Ukraine
Rais Vladimir Putin wa Russia ametetea oparesheni za kijeshi ambazo nchi yake ilianzisha dhidi ya Ukraine na kusema ilibidi afanye hivyo kwani nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Russia kijeshi. Putin ameyasema hayo katika hotuba wakati wa gwaride la kila mwaka la Siku ya Ushindi katika Medani Nyekundu mjini Moscow leo Jumatatu kwa munasaba wa…

China: Amerika yaifanya ulaya kuwa dhabihu
Naibu waziri wa mambo ya nje wa China alisema katika taarifa yake siku ya Jumamosi kwamba Marekani imenufaika pakubwa na vita vya Ukraine na inaitoa kafara Ulaya. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China Li Yucheng alisema siku ya Jumamosi kuwa Marekani…

Sherehe za kuanzishwa kwa utawala wakimabavu mjini Abu Dhabi zaashiria kudhoofika kwa watawala wa UAE.
Chama cha People’s Front for the Liberation of Palestina kimeelezea sherehe za kumbukumbu ya kuasisiwa utawala huo ghasibu katika ubalozi wake mjini Abu Dhabi kuwa ni ishara ya kudorora na kudhalilika kwa watawala wa Imarati. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Chama cha People’s Front for the Liberation of…

Zelinsky: Uwezekano wa Vita vya Tatu vya Kidunia sio jambo la kupuuzwa
Katika mahojiano na mtandao wa habari siku ya Jumatatu, rais wa Ukraine alionya kwamba uwezekano wa vita vya tatu vya kidunia hauwezi kuepukika na kupuuzwa. Kulingana na Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Rais wa Ukrain Volodymyr Zelensky alisema kuwa Urusi ilianzisha vita kwa kuteka maeneo ya Ukraine. “Vita hivyo viko nchini…

Mmoja auawa na polisi nchini Nigeria katika maandamano ya Siku ya Al-Quds Duniani
Polisi wa Nigeria wamemuua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine kadhaa katika shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji wa Siku ya Al-Quds Duniani huko Zaria, Jimbo la Kaduna. Takriban mtu mmoja aliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati polisi walipowafyatulia risasi wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wakati wa maandamano ya Siku ya Dunia ya Al-Quds…

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!
Katika Hotuba yake ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei alizungumza katika siku hii inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds iliyorushwa moja kwa moja na kupitia televisheni akisema; ‘Salamu kwa taifa lao kuu la Iran, ambalo limeunda historia siku hii ya…

Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yafanyika mjini Tehran yakihudhuriwa na watu mbali mbali wenye matabaka tofauti kutoka kote nchini.
Kwa mujibu wa ripoti hii, mwaka huu, baada ya mapumziko ya miaka miwili ya kufanya maandamano ya hadhara ya Siku ya Quds Duniani kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona, uratibu wa kimsingi ulifanyika ili kuandaa maandamano makubwa yatakayofanyika kwa wakati mmoja sawia na maandamano ya mji wa Tehran, katika zaidi ya miji 900. Maandamano…

Mkutano wa Jordan na Israel wa kukagua Msikiti wa Al-Aqsa
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti kikao cha maafisa wa utawala huo na viongozi wa Jordan baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kulenga Msikiti wa Al-Aqsa. Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, kikao cha wakuu wa Jordan na Israel kuhusu Msikiti wa Al-Aqsa kitafanyika kwa kiwango cha juu zaidi. Tovuti ya…