Ubeberu wa kimataifa

Chad yawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ifikapo 31 Januauri 2025

Chad yawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ifikapo 31 Januauri 2025

Serikali ya Chad imeitaka Ufaransa kuwa imewaondoa wanajeshi wake katika ardhi yake ifikapo Januari 31. Imethibitishwa kwamba takwa hili liliwasilishwa huko Paris jana Disemba 19. Hata hivyo, afisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa Ufaransa, ameviambia vyombo vya habari, kwamba itakuwa vigumu kuondoa kikosi kizima cha jeshi katika kipindi cha wiki saba. N’Djamena inasema…

Syria ni usaliti mkubwa uliofanywa na Erdogan na usaliti mkubwa kuliko uliofanywa na viongozi wa Kiislamu: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Syria ni usaliti mkubwa uliofanywa na Erdogan na usaliti mkubwa kuliko uliofanywa na viongozi wa Kiislamu: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 13 Desemba 2024 Khutba ya 1: Kuwa na Taqwa ili kujikinga na wale wanaokutenganisha na njia ya Mwenyezi Mungu. قُلْ أَنَدْعُو مِنْ دُونِ اللَّهِ مَا لَا يَنْفَعُنَا وَلَا يَضُرُّنَا وَنُرَدُّ…

Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran

Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran

Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) ya Jumatatu ya tarehe 9 Disemba ilikariri madai yenye utashi wa kisiasa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran. Madola hayo matatu ya Ulaya yamekariri madai hayo ikiwa ni radiamali yao kwa ripoti ya hivi karibuni ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki…

Imamu Khamenei: Kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Marekani na Israel

Imamu Khamenei: Kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Marekani na Israel

Kiiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kiilichotokkea Syria ni njama na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala haramu wa Israel. Ayatullah Sayyid Khamenei amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa ya matabaka mbalimbali ya wananchi katiika Husseiniya ya Imamu Khomeini na kusisitiza kwamba, haipasi kutilia shaka kwamba yaliyotokea Syria ni natija yampango…

Taqwa pamoja na marafiki, ndugu wanaopotosha katika njia sahihi: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Taqwa pamoja na marafiki, ndugu wanaopotosha katika njia sahihi: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu  Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 29 Novemba 2024 Khutba ya 1: Taqwa pamoja na marafiki, ndugu wanaopotosha katika njia sahihi Taqwa ina umuhimu mkubwa wakati wa kuamiliana na watu wengine, kwani mahusiano haya ni…

Putin: Tuko tayari kusimamisha vita nchini Ukraine

Putin: Tuko tayari kusimamisha vita nchini Ukraine

Ikulu ya Russia imetangaza habari ya kufanyika mazungumzo ya simu baina ya Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz ambapo Putin amesema kuwa nchi yake iko tayari kuanzisha mazungumzo ya kusimamisha vita nchini Ukraine. Kwa mujibu wa shirika la habari la TASS la Russia, rais wa nchi hiyo na kansela…

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina

Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu Duniani umezitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel. Sheikh Ali al-Qaradaghi, Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani (IUMS) jana Alkhamisi aliashiria jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuutaka…

Balozi wa Sudan: Israel na vikundi vyake vya wakala vinamchango katika vita nchini Sudan

Balozi wa Sudan: Israel na vikundi vyake vya wakala vinamchango katika vita nchini Sudan

Balozi wa Sudan mjini Tehran amesema kuwa, kinachoendelea Sudan ni jinai kubwa na kusema kuwa, Israel na makundi ya wawakilishi wake katika eneo hilo ndio wanaoendesha mizozo ya hivi sasa nchini Sudan. Abdul Aziz Hasan Saleh Taha, balozi wa Sudan mjini Tehran, alielezea matukio ya hivi punde nchini Sudan katika mkutano na waandishi wa habari…