Ubeberu wa kimataifa

Wapinzani wa Ufalme wa Uingereza waandamana katika jiji la London

Wapinzani wa Ufalme wa Uingereza waandamana katika jiji la London

Waingereza wanaopinga utawala wa Kifalme wameandamana hadi kwenye uwanja wa bunge katika mji mkuu wa nchi hiyo London. Kwa mujibu wa televisheni ya Al-Mayadeen, waandamanaji hao wamekosoa vikali fedha zilizotumiwa na serikali kugharimia sherehe ya kutawazwa Mfalme Charles na kutaka kufutwa sheria inayopiga marufuku maandamano, ambayo polisi waliitumia kuwakamata wanaharakati wanaotaka mfumo wa Jamhuri siku alipotawazwa rasmi…

Uganda yapasisha sheria ya kukabili mapenzi ya watu wa jinsia moja

Uganda yapasisha sheria ya kukabili mapenzi ya watu wa jinsia moja

Hatimaye Rais Yoweri Museveni ameupasisha kuwa sheria, Muswada wa 2023 wa kupiga marufuku nchini humo na kuwachukulia hatua kali wanaojihusisha na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja, licha ya maonyo na vitisho vya nchi za Magharibi. Hayo yamethibitishwa leo Jumatatu na Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among ambaye amesema kuwa, Rais Museveni amepasisha…

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Huku akitoa pongezi kwa ushindi wa hivi karibuni wa muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni katika kikao na kiongozi wa Jihad ya Kiislamu ya Palestina, Peyman Jabali alitangaza uwekaji wa masharti ya muqawama dhidi ya utawala huo ghasibu kuwa ni ushindi mkubwa, wa kudumu na wa mafunzo. Katika mkutano huo ambao umefanyika ikiwa…

Maeneo yaliyokaliwa kimabavu ni pepo ya wahalifu

Maeneo yaliyokaliwa kimabavu ni pepo ya wahalifu

Kanali ya 12 ya utawala wa Kizayuni imefichua kuwa, kwa mujibu wa uchunguzi wa kina, idadi kubwa ya magenge ya kihalifu yaliyopangwa katika utawala huo ghasibu hivi karibuni yamehamishia shughuli zao Dubai. Kwa kuzingatia hili, polisi wa Israel walionya polisi wa UAE, ambao hawakujua kuhusu hatari ya magenge haya. Ripota wa Al-Alam, Faris Sarfandi ameripoti…

Kuuawa shahidi kijana wa Kipalestina kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni

Kuuawa shahidi kijana wa Kipalestina kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni

Wanajeshi wa Kizayuni walimuua kijana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 37 baada ya kuingia ghafla katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wizara ya Afya ya Palestina ilitangaza kuuawa shahidi Mpalestina Ashraf Muhammad Amin Ibrahim mwenye umri wa miaka 37 Jumatatu hii asubuhi. Kwa mujibu wa tangazo hili, kijana huyo…

Bendera ya utawala wa Kizayuni ikiwa chini ya miguu ya waandamanaji wa Bahrain

Bendera ya utawala wa Kizayuni ikiwa chini ya miguu ya waandamanaji wa Bahrain

Idadi kubwa ya wananchi wa Bahrain walifanya maandamano kupinga kuhalalishwa uhusiano kati ya serikali ya nchi yao na utawala wa Kizayuni katika mji wa Al-Draz ulioko magharibi mwa Manama, mji mkuu wa Bahrain. Tovuti ya habari ya Manama Post iliandika: Maandamano haya yalifanyika siku ya Ijumaa baada ya sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Draz,…

Uvamizi wa mamia ya walowezi wa Kizayuni kwenye Msikiti wa Al-Aqsa kwa uungaji mkono mkubwa wa polisi wa utawala huo ghasibu

Uvamizi wa mamia ya walowezi wa Kizayuni kwenye Msikiti wa Al-Aqsa kwa uungaji mkono mkubwa wa polisi wa utawala huo ghasibu

Walowezi hao wa Kizayuni wameushambulia Msikiti wa Al-Aqsa kutoka Bab al-Maghrabeh Jumapili hii asubuhi kwa uungaji mkono mkubwa wa polisi ya utawala huo. Ili kuhakikisha usalama wa walowezi wanaovamia, polisi ya Kizayuni imeweka vikosi vyake na vitengo maalum katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa na milango yake ya kuingilia tangu asubuhi. Idara ya Wakfu wa…

Nasrallah: Vita Vikuu vitapelekea kuangamia kwa Israeli / Sehemu ya Lebanon ingali chini ya adui

Nasrallah: Vita Vikuu vitapelekea kuangamia kwa Israeli / Sehemu ya Lebanon ingali chini ya adui

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbollah ametoa hotuba Alkhamisi hii jioni kwa mnasaba wa mnasaba wa kukombolewa Lebanon inayojulikana kwa jina la Iddi ya Mapambano na Ukombozi na kwa mara nyingine amesema kuwa, vita na adui Mzayuni bado havijaisha. Seyyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ametoa hotuba Alhamisi hii jioni kwa mnasaba…