Ubeberu wa kimataifa

Wazayuni wamkosoa Netanyahu kwa kuchanganyikiwa na kutokuwa na mpango wa vita

Wazayuni wamkosoa Netanyahu kwa kuchanganyikiwa na kutokuwa na mpango wa vita

Kuendelea kupanuka nyanja za vita vinavyoendeshwa na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na baraza lake la mawaziri, kumekosolewa vikali na Wazayuni ambao wanalitazama suala hilo kuwa, ni ishara ya kuchanganyikiwa kwake na kutokuwa na mpango wa kuendesha vita. Netanyahu baada ya kuendesha kwa mwaka mmoja vita vya mauaji ya umati katika…

Mbunge Farah Maalim akashifiwa kwa kuvaa skafu ya Palestina bungeni

Mbunge Farah Maalim akashifiwa kwa kuvaa skafu ya Palestina bungeni

Nairobi, Kenya : Mbunge wa Kenya aliamriwa kuvua skafu ya kitamaduni ya Wapalestina aliyokuwa amevaa wakati wa shughuli za bunge, Siku ya Jumatano. Farah Maalim alisema alikuwa amevaa skafu hiyo kuonyesha alama ya mshikamano na Wapalestina huko Gaza, huku kukiwa na mzozo unaoendelea kati ya Israel na kundi la waislamu wa Palestina Hamas. Alisema Palestina…

Shambulio la jeshi la Sudan kwenye makao makuu ya balozi wa UAE

Shambulio la jeshi la Sudan kwenye makao makuu ya balozi wa UAE

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Umoja wa Falme za Kiarabu ilitangaza Jumapili kwamba ndege ya jeshi la Sudan ilishambulia makazi ya balozi huyo mjini Khartoum. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Umoja wa Falme za Kiarabu siku ya Jumapili imelaani “shambulio baya” dhidi ya makazi ya balozi wa nchi hiyo mjini Khartoum, Sudan, lililotekelezwa…

Sera zinazokinzana za Macron kuhusiana na mashambulizi wa Wazayuni nchini Lebanon

Sera zinazokinzana za Macron kuhusiana na mashambulizi wa Wazayuni nchini Lebanon

Wito wa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, wa kusitishwa msaada wa silaha kwa utawala bandia na ghasibu wa Israel umefuatiwa na jibu kali la Waziri Mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu. Akizungumza na kituo cha redio ya Ufaransa, Macron amesema: “Kipaumbele cha sasa ni kurejea kwenye suluhisho la kisiasa na kuacha kutuma silaha ambazo zinatumika katika vita…

Ethiopian Airlines yasimamisha safari zote za ndege za kuelekea Israel

Ethiopian Airlines yasimamisha safari zote za ndege za kuelekea Israel

Shirika la Ndege la Ethiopia limetangaza kusitisha safari zote za ndege za kuelekea Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, hadi itakapotangazwa tena kutokana na hali ilivyo sasa katika eneo la Asia Magharibi. Katika taarifa yake rasmi, Ethiopian Airlines imetangaza pia kusimamisha safari zake kuelekea Beirut, mji mkuu wa Lebanon. Kwa mujibu…

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN iliandika katika ripoti yake kwamba Iran ina hiyari ya kufanya uamuzi unaoweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta kwa viwango vya juu zaidi ikilinganishwa na rekodi za awali, na ongezeko hili litakuwa na madhara makubwa kwa Marekani na uchumi wa dunia nzima. Kufuatia wasiwasi wa kusita kwa usambazaji wa mafuta ya Iran, bei ya…

Vyombo vya habari vya michezo duniani vyalalamikia kimya cha FIFA mbele ya jinai za Israel

Vyombo vya habari vya michezo duniani vyalalamikia kimya cha FIFA mbele ya jinai za Israel

Aghalabu ya vyombo vya habari mashuhuri vya michezo duniani vimekosoa kimya, mchezo wa kisiasa na unafiki wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) mkabala wa jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel. Shirika la habari la Fars limearifu kuwa, vyombo vya habari vya michezo vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vimeeleza kuwa vyombo vya habari vyenye itibari…

Tamko la IRGC baada ya shambulizi la kombora dhidi ya Israel

Tamko la IRGC baada ya shambulizi la kombora dhidi ya Israel

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitoa taarifa baada ya shambulio la kombora dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Kulipiza kisasi kwa Irani dhidi ya Israel kulikotarajiwa kumeanza huku makombora ya balistiki yakirushwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (utawala wa Israel) siku ya Jumanne jioni. Katika kukabiliana na kifo cha kishahidi…