Ubeberu wa kimataifa

Afisa wa zamani wa UN: Marekani ni mshirika katika mauaji ya kimbari ya Israel

Afisa wa zamani wa UN: Marekani ni mshirika katika mauaji ya kimbari ya Israel

Afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa, ambaye alijiuzulu mwaka jana akipinga vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelea kufanywa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza ukisaidiwa na Marekani na washirika wake, ameendelea kulaani ushiriki wa Washington katika uhalifu huo. Craig Mokhiber, ambaye alikuwa akisimamia Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa…

Kwa nini “Israeli” iliundwa?

Kwa nini “Israeli” iliundwa?

Mwamko wa Kiislamu ni mwanzo wa mwisho wa nchi za Magharibi na kuhodhishwa kwake katika utawala wa dunia, hivyo basi, kuchunguza vipimo vya uungaji mkono wa nchi zote za Magharibi kwa utawala wa Kizayuni katika mashambulizi ya kikatili na vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Ghaza kunaweza kufichua sababu. kwa uumbaji wa…

Harris atupilia mbali uwezekano wa kuiwekea Israel vikwazo vya silaha, adai ina haki ya ‘kujilinda’

Harris atupilia mbali uwezekano wa kuiwekea Israel vikwazo vya silaha, adai ina haki ya ‘kujilinda’

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametupilia mbali kwa msisitizo uwezekano wa nchi hiyo kuuwekea vikwazo vya silaha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaoendeleza vita vya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro. Harris ameeleza hayo katika mahojiano yake ya kwanza aliyofanyiwa na televisheni ya CNN tangu awe…

Ombi la Al-Azhar la kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni

Ombi la Al-Azhar la kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni

Katika taarifa yake, Al-Azhar ya Misri sambamba na kulaani mashambulizi ya jinai ya jeshi la utawala huo ghasibu katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, imetoa wito wa kususia bidhaa zinazozalishwa na utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kuliunga mkono taifa la Palestina. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA siku ya Jumamosi…

UN yakosoa azma ya Israel ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa al-Aqsa

UN yakosoa azma ya Israel ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa al-Aqsa

Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali pendekezo lililotolewa hivi karibuni na Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, la kutaka kujenga sinagogi ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa. Stephane Dujarric amesema katika kikao na waandishi wa habari kuwa, “kauli za aina hii hazina tija wala maana. Zinazidisha hatari ya kushadidisha hali ambayo tayari ni mbaya.” Huku…

Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila natija mjini Cairo

Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yamalizika bila natija mjini Cairo

Mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza kwa upatanishi wa Misri, Qatar na Marekani yamemalizika bila natija huuko Cairo na ujumbe wa Hamas umeondoka katika mji mkuu huo wa Misri. Shirika la habari la Reuters, likiwanukuu maafisa wawili wa Misri, limeripoti kuwa mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas yamemalizika bila kupatikana matokeo yoyote…

Hasira za nchi za Kiafrika kutoka Ukraine

Hasira za nchi za Kiafrika kutoka Ukraine

Katika barua kwa Baraza la Usalama, nchi hizo tatu za pwani ya Afrika zilitangaza kushtushwa na kukubali kwa Ukraine kuunga mkono ugaidi katika bara hilo na kutaka taasisi za kimataifa kuingilia kati suala hilo. Katika barua kwa mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Burkina Faso, Mali na Niger ziliishutumu serikali ya Ukraine…

Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran

Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran

Kadiri jibu la Iran kwa kitendo cha kigaidi cha utawala wa Kizayuni wa Israel linavyozidi kuchukua muda mrefu, ndivyo taathira za kimaada, kiroho na kisaikolojia zinavyozidi kuongezeka na kuwaumiza Wazayuni. Kuhusu wakati wa jibu la Tehran kwa utawala wa Israel baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, mwakilishi wa…