Uchambuzi wa Kisiasa

Waandamanaji 10,000 wakusanyika kupinga hotuba ya Netanyahu katika Bunge la Marekani

Waandamanaji 10,000 wakusanyika kupinga hotuba ya Netanyahu katika Bunge la Marekani

Kanali ya televisheni ya Marekani ya CNN ilitangaza kuwa zaidi ya waandamanaji 10,000 wanaweza kukusanyika leo kando ya hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Bunge la Marekani. Kwa mujibu wa IRNA, kituo cha habari cha Marekani cha CNN kiliripoti Jumatano saa za ndani, kunukuu vyanzo vya habari, kwamba wabunge na washauri wakuu…

Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri

Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri

Rais William Ruto wa Kenya amewateuwa katika baraza lakek jipya la mawaziri shakhsia wa upinzani huku akiwarejesha nyadhifani mawaziri kadhaa aliokuwa amewafuta kazi. Rais wa Kenya amechukua hatua hii kufuatia maandamano makubwa dhidi ya serikali yaliyopelekea kuuliwa watu zaidi ya 50 huko Kenya. Rais Ruto amemteuwa kiongozi wa wachache bungeni Opiyo Wandayi katika nafasi ya…

Muitikio wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Ulimwenguni kutokana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Yemen

Muitikio wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Ulimwenguni kutokana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Yemen

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Ulimwenguni wenye makao yake makuu nchini Qatar, ulitoa taarifa ya kulaani mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Yemen na watu wasio na ulinzi wa nchini humo. Kwa mujibu wa Anatoly, maandishi ya ujumbe wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani ni kama ifuatavyo: Katika mashambulizi yake…

Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni

Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni

Ubalozi wa Tanzania mjini Tel Aviv ulifunguliwa mnamo mwaka 2018 na umejizuia kupiga kura dhidi ya taifa la Kiyahudi la Israel kwenye Umoja wa Mataifa na baadhi ya vikao vya kimataifa. Siku ya Jumanne, tarehe 4 Novemba, gazeti la Mwananchi la Tanzania liliandika katika makala yenye kichwa hatua za Tanzania katika diplomasia: Ubalozi wa Tanzania…

Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge

Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge

Waandamanaji kadhaa wamekamatwa Kampala mji mkuu wa Uganda wakati wanaharakati wa kupinga ufisadi walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Ingawa biashara ilisalia kuwa ya kawaida katika sehemu nyingi za jiji, katika sehemu zingine, waandamanaji walibeba mabango walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Hata hivyo, timu ya pamoja ya wanajeshi na polisi ilichukua hatua kali kuwakamata watu wengi ikiwa ni…

Israel: Tuliizuia Iran kushambulia raia wa nchi yetu barani Afrika

Israel: Tuliizuia Iran kushambulia raia wa nchi yetu barani Afrika

Shirika la Kijasusi na Operesheni Maalum la Israel lilitangaza kusitishwa kwa mashambulizi kadhaa yanayohusiana na Jeshi la Quds la Iran dhidi ya malengo ya Israel barani Afrika. Shirika la Ujasusi na Operesheni Maalum la Israel (Mossad) lilitangaza kuwa limezuia mashambulizi yanayohusiana na Kikosi cha Quds cha Iran dhidi ya malengo ya Israel huko Senegal, Ghana…

Washington yadhihirisha kwa uwazi uungaji mkono wa uvamizi wa Tel Aviv nchini Yemen

Washington yadhihirisha kwa uwazi uungaji mkono wa uvamizi wa Tel Aviv nchini Yemen

Baada ya mashambulizi makali ya utawala wa Kizayuni katika bandari ya Hodeidah ya Yemen, waziri wa vita wa utawala huo Yoav Gallant alipiga simu na waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin. Shambulio la Israeli dhidi ya Yemen ni hatua ya kujilinda,” Waziri wa Ulinzi wa Marekani alisema kwa Waziri wa Vita wa Kizayuni. Wizara…

Idadi ya waliokufa katika machafuko Bangladesh yafikia 115

Idadi ya waliokufa katika machafuko Bangladesh yafikia 115

Idadi ya watu walioaga dunia katika machafuko yanayoendelea nchini Bangladesh iimeongezeka na kufikia watu 115. Ripoti zaidii kutoka nchini humo zinasema kuuwa, jumla ya watu 115 wameuwawa nchini Bangladesh huku polisi wakipambana bila ukomo dhidi ya maandamano yanayoongozwa na wanafunzi kupinga nafasi za kazi za serikali licha ya marufuku iliyowekwa na mamlaka husika ya kushiriki…