Uchambuzi wa Kisiasa

Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia

Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia

Tume Kuu ya Uchaguzi ya Shirikisho la Russia imetangaza kuwa Vladimir Putin, rais wa sasa wa nchi hiyo, ameshinda uchaguzi wa karibuni kwa asilimia 87.32 ya kura na hivyo kupata fursa nyingine ya kuwa rais wa Russia kwa muhula mwingine wa miaka sita. Kwa mujibu wa tangazo la tume hiyo, kiwango cha ushiriki katika uchaguzi…

Afisa mkuu wa Kizayuni: Biden anataka kuipindua serikali ya Netanyahu

Afisa mkuu wa Kizayuni: Biden anataka kuipindua serikali ya Netanyahu

Kufuatia hali ya mvutano katika uhusiano wa Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, afisa mmoja wa Israel anasema kuwa, Ikulu ya White House inamalengo ya kuiangusha serikali ya Netanyahu. Vyombo vya habari vya Israel, vikiwataja maafisa waandamizi wasiojulikana, vimedai kuwa serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden inatafuta kuiangusha serikali ya…

Mbunge wa Marekani anayeunga mkono Gaza: Nitampigia kura Biden

Mbunge wa Marekani anayeunga mkono Gaza: Nitampigia kura Biden

Mwakilishi wa Kidemokrasia ambaye alipinga sera za Biden wakati wa vita vya Gaza alitangaza kwamba atampigia kura tena katika uchaguzi wa rais wa 2024 wa Amerika. Baada ya idadi kubwa ya kura zilizopigwa na wapiga kura wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa awali wa jimbo la Minnesota nchini Marekani kurekodiwa kama “kutojitolea”, mwakilishi wa…

Msemaji wa Rwanda akataa kuthibitisha iwapo Kagame atakutana na Tshisekedi

Msemaji wa Rwanda akataa kuthibitisha iwapo Kagame atakutana na Tshisekedi

Msemaji wa Serikali ya Rwanda Yolande Makolo hajakanusha wala kuthibitisha ripoti kwamba Rais Paul Kagame amekubali kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Duru za Habari zinaripoti kuwa, wawili hao watajaribu kumaliza mzozo kuhusu tuhuma za kuwaunga mkono waasi wao kwa wao, ikimnukuu waziri wa mambo ya nje…

Israel haizingatii uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa

Israel haizingatii uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa

Akigusia kutotekelezwa hukumu ya awali ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu ulazima wa kuzuiwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na kueleza wasiwasi wake kuhusu hali ya mji wa Rafah kusini mwa eneo hilo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Afrika Kusini ilisema kuwa nchi yake imeiomba…

Nigeria yasema itaomba kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS

Nigeria yasema itaomba kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS

Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Tuggar amesema nchi yake inajipanga kuomba uanachama katika jumuiya ya kiuchumi ya BRICS baada ya mipango muhimu ya uratibu wa ndani ya nchi hiyo kukamilika. Mwanadiplomasia huyo mkuu wa Nigeria ambaye wiki hii alikuwa mjini Moscow, Russia kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Machi 5 hadi…

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Zimbabwe wameendelea kupiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Harare kupinga siasa za vikwazo za dola hilo la kiistikbari na wamesema kuwa, hawataondoka kwenye kambi hiyo madipale Marekani itakapofuta vikwazo vyake dhidi ya Zimbabwe. Sally Ngoni, msemaji wa Muungano wa Broad Alliance Against Sanctions, ambao umepiga kambi mbele…

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Harakati ya Hamas  imekaribisha kauli ya “Umoja wa Afrika” kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina “Shahab”, katika taarifa ya harakati ya Hamas, imeeleza: Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunakaribisha taarifa ya mwisho ya Mkutano wa 37 wa Umoja wa…