Uchambuzi wa Kisiasa

Katibu Mkuu wa Hizbullah aonana na Kiongozi wa HAMAS

Katibu Mkuu wa Hizbullah aonana na Kiongozi wa HAMAS

Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut. Kwa mujibu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma ya Hizbullah, katika mazungumzo yake na Ismail Haniya, Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas yaliyofanyika…

Hofu yatanda jeshi likiongeza udhibiti wa umma Pakistan

Hofu yatanda jeshi likiongeza udhibiti wa umma Pakistan

Wanasiasa na wanaharakati nchini Pakistan wameibua hofu kuhusu jeshi kuongeza udhibiti wa umma baada ya waziri mkuu mpya, Shehbaz Sharif kulipatia shirika la kijasusi la ISI mamlaka ya kuhakiki uteuzi wa watumishi wa umma. Hatua hiyo imeweka uhakiki na uchujaji wa maofisa wa serikali wanaosimamia utangazaji, uteuzi na upandishaji vyeo mikononi mwa ISI, na kusababisha…

Uingereza yaiwekea Urusi vikwazo vipya

Uingereza yaiwekea Urusi vikwazo vipya

Uingereza yaiwekea Moscow vikwazo vipya huku mgogoro baina ya mataifa ya Magharibi na Urusi ukiongezeka. Huku mivutano kati ya wamagharibi na Moscow kuhusu Ukraine ikiendelea, vyombo vya habari viliripoti siku ya Alhamisi ya kwamba serikali ya Uingereza imeongeza idadi ya vikwazo kwa Urusi. Kwa mujibu wa ripoti nyingine za vyombo vya habari vya Uingereza na…

Saudia yazidi kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen

Saudia yazidi kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen

Muungano vamizi Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 40 katika mkoa wa al Hudaidah. Makundi ya Yemen yalisaini makubaliano ya kusitisha vita katika mkoa wa al Hudaidah kupitia mazungumzo ya Disemba 13 mwaka 2018 huko Stockholm Sweden, hata hivyo muungano vamizi wa Saudi Arabia na washirika wake tangu wakati huo umekiuka mara…

Nairobi, Kenya; Viongozi Wa EAC Waunda Kikosi Cha Kulinda Amani DRC

Nairobi, Kenya; Viongozi Wa EAC Waunda Kikosi Cha Kulinda Amani DRC

  FARAAN:MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi, marais hao waliagiza kwamba wanajeshi wa kikosi hicho maalum cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) watumwe kudumisha amani katika taifa hilo linalokumbwa na misukosuko. Wanajeshi hao wanatarajiwa kushirikiana…

Hali nchini Nigeria yatarajiwa kua mbaya zaidi endapomsaidizi wa haraka wa hali ya kibinadamu atakosekana

Hali nchini Nigeria yatarajiwa kua mbaya zaidi endapomsaidizi wa haraka wa hali ya kibinadamu atakosekana

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Matthias Schmale amesema zaidi ya watu milioni 4.1 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wanahitaji msaada wa haraka wa chakula katika msimu wa mwambo utakao anza hivi karibuni. Akihutubia kikao cha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva,…

Trump aonya kua Biden ataielekeza kadhia ya Ukraine kwenye Vita Vikuu vya Dunia

Trump aonya kua Biden ataielekeza kadhia ya Ukraine kwenye Vita Vikuu vya Dunia

Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump amemtuhumu rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa hana uwezo katika uendeshaji uchumi wa nchi na kusema kuwa katika kadhia ya Ukraine, kiongozi huyo anaielekeza Marekani kwenye Vita Vikuu vya Dunia. Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Trump ameyasema hayo katika mahojiano na tovuti ya habari ya Newsmax,…

Mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu wawanajisi wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen

Mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu wawanajisi wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen

Kitendo cha mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu kuwabaka wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, magharibi mwa Yemen kimeibua ghadhabu na kulalamikiwa vikali katika pembe mbalimbali za nchi hiyo maskini ya Kiarabu. Vyombo vya habari vya Yemen vimeripoti kuwa, jinai hizo za kutisha zilifanyika siku chache zilizopita katika maeneo ya  al-Juwayr na al-Suwaihra katika wilaya ya…