Hizbullah ya Lebanon yaimarisha Jeshi lake katika kila upande, maandalizi ya kupambana na Wazayuni
Nguvu za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, angani, ardhini na majini na imejiandaa kikamilifu kupambana na Wazayuni. Hivi sasa harakati hiyo imejiweka tayari kukabiliana na utawala wa Kizayuni kikamilifu baada ya kuenea taarifa kuwa utawala huo pandikizi umekataa matakwa ya Lebanon ya kutoiba gesi katika eneo la nchi…
Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Pamoja na hayo na licha ya kupita takribani miaka miwili na nusu tangu kutolewa ahadi hizo, utendaji wa serikali ya Marekani wenye mgongano katika…
Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) chapuuza shahada ya Naibu Rais ‘William Kipchirchir Ruto’ ambayo imeenea mitandaoni
Kwa sasa mgombea huyo ana digrii tatu kutoka kwenye taasisi hiyo. Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kimejitokeza kufafanua kuwa waraka unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kua ni shahada ya digrii aliyokabidhiwa naibu Rais nchini Kenya Bw. William Ruto ni ghushi. Ukweli ni kwamba naibu rais alijiandikisha kwa Shahada ya Kwanza baada ya kukamilisha masomo…
Wanasiasa jijini Mombasa Waahidi Kufanya Kampeni Kwa Amani
Wagombea ugavana na viti vingine vya kisiasa katika Kaunti ya Mombasa, wametia sahihi makubaliano mbele ya viongozi wa dini kwamba watadumisha amani katika kipindi chote cha uchaguzi wa Agosti. Mkataba huo wa Amani, uliandaliwa na Baraza la Kitaifa la Makanisa ya humu nchini (NCCK), Baraza kuu la Waislamu nchini (SUPKEM), Kongamano la Mapadri wa Kikatoliki…
UN: Theluthi moja ya Wasudani wanakabiliwa na baa la njaa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema zaidi ya asilimia 30 ya wananchi wa Sudan wanasumbuliwa na mgogoro mkubwa wa chakula uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, mzozo wa kisiasa na kupanda bei za chakula katika soko la dunia. Taarifa ya pamoja ya Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP) na Shirika la Chakula na Kilimo la…
Uchaguzi kenya unavyotoa somo Tanzania
Kasoro ya Kenya kisiasa mpaka sasa ni ukabila na ukanda. Mathalan, mwaka huu baada ya Wakikuyu kutokuwa na mgombea urais mwenye nafasi ya kushinda, kulitokea ulazima wa mgombea mwenza. Raila Odinga wa Azimio la Umoja One Kenya Coalition na William Ruto, mwenye tiketi ya United Democratic Alliance (UDA), ndio vinara wa mbio za urais na…
Iran yalaani jaribio la UK la kuwahamishia wakimbizi nchini Rwanda
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani jaribio la Uingereza la kuwahamishia kwa lazima wakimbizi wa nchi hiyo huko Rwanda na kusema kuwa hiyo ni aibu ya kihistoria. Saeed Khatib Zadeh amesema hayo usiku wa kuamkia leo Jumatano na kuongeza kuwa, jaribio la kuwapeleka wakimbizi hao katika nchi…
Al Azhar yaonya kuhusu madhara ya kushambuliwa nyumba za Waislamu nchini India
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani jinai za Wahindu za kushambulia nyumba za Waislamu nchini India na kuonya kuhusu madhara ya jinai hizo. Shirika la habari la Sputnik limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, Chuo Kikuu cha al Azhar kimesema katika taarifa yake kuwa, kinalaani kwa nguvu zote jinai zinazofanywa…