Idara ya Ulinzi ya Uingereza: Waukraine wabomoa madaraja baada ya kurejea nyuma
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza, imeeleza kua kilomita 90 ya mstari wa mbele wa vita kati ya vikosi vya Kirusi na Kiukreni ziko magharibi mwa Mto Siversky Donetsk na kusema kua kuvuka kwa Warusi kwenye mto huu ni uamuzi bora na muhimu. Baada ya kukiri kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa limejiondoa kutoka mstari wa mbele…
Maduro: Maneno ya kiongozi wa Iran yalinitia nguvu
Baada ya kukutana na Ayatullah Khamenei, rais wa Venezuela alisema katika ujumbe wake: Maneno ya kiongozi huyo wa Iran yalinitia nguvu. Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameandika katika ujumbe wake wa Twitter akizungumzia mkutano wake na kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran: “Nilikuwa na mkutano uliojaa mambo ya kiroho na hekima pamoja na kiongozi…
Ujumbe maalum kutoka kwa Kim Jong Un kwa Rais Vladimir Putin
Katika salamu za pongezi kwa rais wa Urusi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kitaifa ya nchi hiyo, rais wa Korea Kaskazini ameeleza kuwa anaunga mkono kikamilifu nchi ya Urusi. Katika barua yake katika Siku ya Kitaifa ya Urusi siku ya Jumapili, Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alionyesha uungaji mkono wake kikamilifu kwa…
TZ Yawarai Viongozi Wa Upinzani Walio Uhamishoni Warejee
SERIKALI ya Tanzania imewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliotorokea mafichoni katika mataifa ya kigeni, kurejea nchini. Wizara ya Masuala ya Ndani iliomba wanasiasa hao warudi nyumbani ikisema hakuna uhasama baina ya upinzani na serikali. Miongoni mwa viongozi wa Chadema wanaoishi uhamishoni ni aliyekuwa mwaniaji urais 2020, Tundu Lissu, na wabunge wa…
Madai ya London: Urusi inalenga kupenya ndani kabisa ya jimbo la Donetsk
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilidai kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa likipinga hatua ya Urusi kusonga mbele, na kusema kua Moscow ilikuwa ikijaribu kuiteka Sverodontsk. Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Urusi akitangaza kwamba vikosi vyake vinasonga mbele mashariki mwa Ukraine na kuchukua udhibiti wa maeneo 15 muhimu, London ilidai kwamba Warusi walikuwa wakijaribu…
Maduro atarajiwa kuizuru Tehran siku ya Jumamosi
Rais wa Venezuela atarajiwa kufanya ziara rasmi mjini Tehran akibeba ujumbe wa ngazi za juu za kisiasa na kiuchumi. Rais wa Venezuela Bw. Nicolas Maduro anatarajiwa kuwasili mjini Tehran mapema siku ya Jumamosi asubuhi kufuatia mwaliko rasmi kutoka kwa Rais Ayatollah Seyyed Ibrahim Ra’isi akibeba ujumbe wa ngazi za juu kutoka kwa maafisa wa kisiasa…
Kingi, Muturi Na Mutua Hatarini Msajili Akikosa Kuwatambua
HATIMA ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua, mwenzake wa Kilifi Amason Kingi na Spika wa Bunge ya Kitaifa Justin Muturi kwenye uchaguzi mkuu ujao haijulikani, baada ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu, kukataa kutambua vyama vyao kama wanachama wa muungano wa Kenya Kwanza. Watatu hao wamekuwa wakipigia debe azma ya urais ya Naibu…
Watu tisa wauawa katika hujuma mpya Marekani
Mashambulizi ya hivi karibuni ya kuwalenga watu wengi nchini Marekani yamepelekea watu tisa kuuawa na wengine 27 kujeruhiwa huku ununuzi wa silaha ukiongezeka katika nchi hiyo. Katika tukio la hivi karibuni, watu sita wameuawa huko Philadelphia jimboni Pennsylvania, na Chattanooga katika jimbo la Tennessee, na wengine 25 kujeruhiwa 25, polisi walisema Jumapili. Washambuliaji wengi walifyatua risasi…