Uchambuzi wa Kisiasa

11 Wapigania nafasi ya kuwa Mgombea Mwenza Wa Raila

11 Wapigania nafasi ya kuwa Mgombea Mwenza Wa Raila

IDADI ya wanaosaka nafasi ya kuteuliwa mmoja wao awe mgombea mwenza wa Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha urais sasa imepanda hadi 11. Hii ni baada ya kujumuishwa kwa Waziri wa Kilimo Peter Munya, Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya na mwenzake wa Nakuru Lee Kinyanjui katika orodha ya awali ya watu wanane. Kwenye taarifa aliyoitoa Jumamosi,…

Putin: Tumeizuia Ulaya kuivamia Russia kwa kuanzisha oparesheni ya kijeshi Ukraine

Putin: Tumeizuia Ulaya kuivamia Russia kwa kuanzisha oparesheni ya kijeshi Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Russia ametetea oparesheni za kijeshi ambazo nchi yake ilianzisha dhidi ya Ukraine na kusema ilibidi afanye hivyo kwani nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Russia kijeshi. Putin ameyasema hayo katika hotuba wakati wa gwaride la kila mwaka la Siku ya Ushindi katika Medani Nyekundu mjini Moscow leo Jumatatu kwa munasaba wa…

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Bashar al-Assad: Leo, Rais na watu wa Syria wanajivunia mataifa ya eneo hilo

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Bashar al-Assad: Leo, Rais na watu wa Syria wanajivunia mataifa ya eneo hilo

Akihutubia Rais wa Syria, Ayatullah Khamenei amesisitiza kuwa, hii leo Rais na wananchi wa Syria wanajivunia mataifa ya eneo hili na kuongeza kuwa: “Leo kila mtu anaitazama Syria kama taifa lenye nguvu.” Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Fars, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo ​​Jumapili katika mkutano na Rais Bashar…

China: Amerika yaifanya ulaya kuwa dhabihu

China: Amerika yaifanya ulaya kuwa dhabihu

Naibu waziri wa mambo ya nje wa China alisema katika taarifa yake siku ya Jumamosi kwamba Marekani imenufaika pakubwa na vita vya Ukraine na inaitoa kafara Ulaya. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China Li Yucheng alisema siku ya Jumamosi kuwa Marekani…

Sherehe za kuanzishwa kwa utawala wakimabavu mjini Abu Dhabi zaashiria kudhoofika kwa watawala wa UAE.

Sherehe za kuanzishwa kwa utawala wakimabavu mjini Abu Dhabi zaashiria kudhoofika kwa watawala wa UAE.

Chama cha People’s Front for the Liberation of Palestina kimeelezea sherehe za kumbukumbu ya kuasisiwa utawala huo ghasibu katika ubalozi wake mjini Abu Dhabi kuwa ni ishara ya kudorora na kudhalilika kwa watawala wa Imarati. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Chama cha People’s Front for the Liberation of…

Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli

Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli

Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo haina ukweli wowote. taarifa ya vyombo vya habari vya Syria imetolewa baada ya baadhi ya duru za habari kuripoti asubuhi ya leo kwamba, Rais Bashar al-Assad amenusurika kkifo baada ya kufeli jaribio la mauaji dhidi…

Zelinsky: Uwezekano wa Vita vya Tatu vya Kidunia sio jambo la kupuuzwa

Zelinsky: Uwezekano wa Vita vya Tatu vya Kidunia sio jambo la kupuuzwa

Katika mahojiano na mtandao wa habari siku ya Jumatatu, rais wa Ukraine alionya kwamba uwezekano wa vita vya tatu vya kidunia hauwezi kuepukika na kupuuzwa. Kulingana na Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Rais wa Ukrain Volodymyr Zelensky alisema kuwa Urusi ilianzisha vita kwa kuteka maeneo ya Ukraine. “Vita hivyo viko nchini…

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Katika Hotuba yake ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei alizungumza katika siku hii inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds iliyorushwa moja kwa moja na kupitia televisheni akisema; ‘Salamu kwa taifa lao kuu la Iran, ambalo limeunda historia siku hii ya…