
Iran ni nchi ya kwanza ya Kiislamu kurusha satalaiti kwenye anga za mbali
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa na uwezo wa kujirushia satalaiti katika anga za mbali ni kigezo cha nchi iliyostawi duniani na kuongeza kuwa, pamoja na kuwepo vikwazo vingi vya kimataifa, vijana wa taifa la Iran katika IRGC wamefanikiwa kurusha satalaiti katika anga za mbali. Jana Jeshi la Walinzi…

Iran ; Utawala wa Kizayuni utarajie Jibu Kali kwa Jinai walioitenda
Ndege za kivita za Israel zilishambulia eneo la Reef mjini Damascus – Syria mnamo siku ya Jumatatu asubuhi (Machi 6), na kuwaua Wairani wawili miongoni mwa watetezi wa Haram tukufu. Wawili hao wakifahamika kama Morteza Saeed Nejad na Ehsan Karbalaeipour waliuawa huku Tehran ikisisitiza kuwa, italipiza kisasi cha damu za mashahidi wake, na kuhusiana na…

Imarati Yajenga vitongoji kwa ajili ya askari wa Israel katika mji wa Socotra, Yemen
Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kujenga vitongoji katika kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Imarati, kwa ajili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel; zaidi ya mwaka mmoja baada ya tawala hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kawaida. Tovuti ya habari ya “Yemen News Portal” imenukuu vyanzo vya habari ambavyo…

Waandamanaji wa Pakistan walaani shambulio la kigaidi katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar
Miji mbalimbali nchini Pakistani ilishuhudia maandamano ya kulaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini Mashia huko Peshawar. Baraza la Umoja wa Waislamu lilifanya maandamano makubwa katika maeneo tofauti ya nchi, hususan katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, wakilalamikia mauaji yakikatili katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar. Mauaji hayo yalizua hisia na kumbukumbu za msururu…

Maandamano makubwa huko mjini Saada yakilaani vikwazo vya mafuta nchini Yemen
Wananchi wa mkoa wa Saada walioshiriki maandamano makubwa leo wametangaza kuwa kususia mafuta yanayotokana na mafuta dhidi ya Yemen ni uamuzi wa Marekani na jibu lao kwa kususia huko na kuzingirwa jihadi na operesheni ya “Asar Al-Yaman”. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, mkoa wa Saada, leo (Jumatatu, Machi…

Sanaa: Huku mashambulizi yakiendelea huko nchini Yemen baadhi ya nchi za Kiarabu zadhihirisha hisia zake kwa kuwahurumia wananchi wa Ukraine kwa kulipuliwa na mabomu
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen, baadhi ya nchi za Kiarabu zimeisahau Yemen kwa muda wa miaka 7 na sasa zinaruhusu usajili wa viza kwa Wananchi wa Ukraine. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, afisa wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen leo…

Russia imefichua kuwa Marekani inawasafirisha magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwaingiza Ukraine
Idara ya Usalama wa Nje ya Nchi ya Russia- SVR RF- imesema kuwa, Marekani inatuma magaidi Ukraine kutoka Syria. Taarifa ya SVR-RF imesema magaidi hao wa ISIS wamekuwa wakipata mafunzo maalumu katika kituo kimoja cha kijeshi kilicho Syria kinyume cha sheria na baada ya kupata mafunzo wanaepelekwa Ukraine. Taarifa hiyo imesema: “Mwishoni mwa mwaka 2021,…

Rais Volodymyr Zelenskyy : Nchi za Magharibi hazina hata uwezo wa kulinda wananchi wao
Zelenskyy alisema hayo siku ya Ijumaa katika hotuba yake maalumu na kuongeza kuwa, hivi sasa mtu yeyote atakayeuawa nchini Ukraine, basi nchi za Magharibi zinabeba dhima ya kifo chake. Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amehamakishwa mno na uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kukataa ombi lake la kutangaza eneo lililo marufuku kupaa ndege…