
Bin Salman: Tuna matumaini ya kuendelezwa mazungumzo na Iran
Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameeleza matumaini kuwa mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia yatafikia hatua ambayo itakuwa nzuri kwa pande zote mbili na kutengeneza mustakabali mzuri kwa nchi zote mbili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iran, IRNA, Mwanamfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman amesema kwamba Riyadh itaendelea na mazungumzo yake…

Hujjatul Islam Haj Ali Akbari : Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo. Hujjatul Islam Haj Ali Akbari ameashiria matukio ya Ukraine na operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Ulaya na kueleza…

Iran: Azimio la UNSC kuhusu Yemen lina taathira hasi kwa mwenendo wa kutafuta amani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Yemen na lugha iliyotumika katika azimio hilo vitakuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa amani na kupanua zaidi ufa uliopo baina ya misimamo ya pande mbili zinazopigana. Saeed Khatibzadeh ameongeza kuwa, inasikitisha kuona…

Wapalestina 190 watiwa mbaroni na askari wa Israel ndani ya muda wa mwezi mmoja
Jumuiya ya Ulaya ya kutetea na kuunga mkono Quds tukufu (Jerusalem) imetangaza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia mji huo wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kuwatia nguvuni Wapalestina zaidi ya 190 wakazi wa mji huo. Hujuma na mashambulio ya askari wa utawala wa Kizayuni…

Moscow: Ipo hatari ya makabiliano ya moja kwa moja kati ya Urusi na NATO
Kuna hatari ya makabiliano ya moja kwa moja kati ya Urusi na NATO, lakini Moscow inatafuta kutatua suala hilo kwa njia za kidiplomasia, alisema naibu waziri wa mambo ya nje. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia alisema Jumatano mchana, saa za…

Maendeleo ya hivi punde nchini Ukraine, Urusi ipo tayari kwa sehemu ya pili ya mazungumzo
Mashambulizi ya makombora na mizinga ya Urusi katika miji ya Ukraine yanaendelea, na ripoti kuwa mji wa Kherson ulioko kusini mwa Ukraine umetekwa na vikosi vya Urusi. Shirika la Kimataifa la Habari la Fars – Mapigano nchini Ukraine yameingia siku ya saba leo, Jumatano, huku mashambulio ya makombora na mizinga ya Urusi yakiendelea. Vyanzo vya…

Balozi wa Russia Iran: Nchi za Magharibi hazina ustahiki wa kuilaani Russia
Ubalozi wa Russia nchini Iran umejibu ujumbe wa Twitter wa balozi wa Uingereza nchini Iran kuhusu matukio ya Ukraine na kusema, madola ya Magharibi hayana ustahiki wa kuilaani Russia. Balozi wa Uingereza nchini Iran Simon Schercliff, amesambaza picha katika ukurasa wake wa Twitter inayoonesha bendera ya Ukraine ikiwa imepandishwa katika Ubalozi wa Uingereza mjini Tehran….

Ayyatullah Khamenei: Tunaunga mkono usitishaji wa vita nchini Ukraine
Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo kwa mnasaba wa maadhimisho ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad (saw) na kubainisha kwamba: Kinyume na maoni ya wale wanaoichukulia dini kuwa tofauti na siasa, maisha na serikali, kilele cha harakati ya utume wa mtume Muhammad ni uundaji wa serikali. Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa,…