
Zelensky atoa wito kwa Putin wazungumze
Rais wa Ukraine alimtaka mwenzake wa Urusi wakae kwa ajili ya mazungumzo. Katika ujumbe wa video uliotumwa kwenye chaneli yake ya Telegram, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelinsky alimwalika mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kwa ajili ya kufanya mazungumzo. Zelensky alinukuliwa na Sputnik ; “Ninataka kumwomba Rais wa Shirikisho la Urusi kwa mara nyingine tena tukae…

Watu 137 wauawa katika siku ya kwanza ya vita vya Ukraine
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema kuwa, watu 137 wameuawa katika siku ya kwanza tu ya vita vya Russia nchini mwake. limemnukuu Zelenskyy akisema hayo mapema leo Ijumaa na kuongeza kuwa, tangu vilipoanza vita vya pande zote za Russia dhidi ya nchi yake, watu 137 wameshauawa na 306 wamejeruhiwa katika kipindi cha chini ya masaa…

Antonio Guterres: Tutajitahidi kutatua mgogoro wa Ukraine bila umwagaji zaidi wa damu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ofisi yake inafanya jitihada zote ili kutatua mgogoro wa Ukraine bila umwagaji zaidi wa damu. Akizungumza mjini New York, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameongeza kuwa, kuna haja ya kukutana na kukabiliana na changamoto hii pamoja kwa ajili ya amani, na kuokoa watu wa Ukraine…

Mambo yalivyo nchini Ukraini, huku Urusi ikiwa na shughuli maalum mashariki mwa nchi hiyo
Katika kujibu ombi la usaidizi wa kijeshi kutoka kwa viongozi wa eneo linalotaka kujitenga la mashariki mwa Ukraine, rais wa Urusi aliamuru operesheni maalum kwenye eneo hilo linaloitwa Donbas. Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru Jeshi la Urusi kuanzisha operesheni maalum katika eneo la Donbas; Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake kwamba…

Iran: hatutavuka mistari miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA. Akizungumza mjini Tehran Jumatano akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Oman Sayyid Badr al-Busaidi, Amir-Abdollahian amesema, Jamhuri ya…

Umoja wa Mataifa: kukithiri kwa mashambulio dhidi ya wakimbizi DRC ni jambo lenye kushtua
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na washirika wake wameeleza kushtushwa na ripoti za mashambulizi nane makubwa yaliyotokea katika siku 10 za mwanzo wa mwezi huu wa Februari katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa ya UNHCR iliyotolewa mjini Geneva Uswisi inaeleza kuwa mashambulizi yaliyosababisha watu kuuawa, kutekwa…

Raisi: Ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Wairani wanaoshi Qatar kuwa ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar. Rais Sayyid Ebrahim Rais wa Iran jana usiku alikutana na Wairani wanaoishi Qatar na huku akibainisha kwamba maingiliano ya watu wa nchi za eneo hili…

Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine
Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa rais wa Urusi ameitaka Wizara ya Ulinzi ya Urusi kutia saini makubaliano na mikoa ya Donetsk na Luhansk iliyoko mashariki mwa Ukraine ili kutuma wanajeshi kulinda amani katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, baada ya uamuzi wa Rais wa Urusi Vladimir…