Uchambuzi wa Kisiasa

Rais Raisi: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unatokana na imani za wananchi kwa misingi yao ya pamoja ya kidini

Rais Raisi: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unatokana na imani za wananchi kwa misingi yao ya pamoja ya kidini

Rais Ebrahim Raisi amesema, uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Azerbaijan unatokana na itikadi na imani za watu wa nchi mbili kwa misingi yao ya pamoja ya kidini. Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo leo katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Azerbaijan Zakir Hasanov na akasisitiza…

Katibu Mkuu wa UN alaani “janga la mapinduzi” baada ya Kabore kupinduliwa Burkina Faso

Katibu Mkuu wa UN alaani “janga la mapinduzi” baada ya Kabore kupinduliwa Burkina Faso

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani kile alichokiita “janga la mapinduzi” ambalo ulimwengu unashuhudia, akieleza kuwa anafuatilia kwa wasiwasi mkubwa matukio ya sasa nchini Burkina Faso. Guterres ameeleza wasiwasi wake hasa kuhusu hatima na usalama wa Rais Roch Marc Christian Kabore wa Burkina Faso kufuatia mapinduzi yaliyofanywa na vikosi vya wanajeshi juzi Januari 23….

Moscow: Utumaji wa silaha kwa nchi ya Ukraine ni sababu ya vifo vya raia wakawaida

Moscow: Utumaji wa silaha kwa nchi ya Ukraine ni sababu ya vifo vya raia wakawaida

Mjumbe wa Urusi katika Umoja wa Mataifa alisema Jumanne kwamba hatua ya baadhi ya nchi za magharibi ya kutuma silaha nchini Ukraine ni jambo litakalosababisha vifo vya raia wa kawaida waliopo mashariki mwa nchi hiyo. Faraan: Imeripotiwa kwamba; “Mwakilishi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Bw. Gennady Kozmin, alisema wakati wa mkutano wa Baraza la…

Rais wautawala wa Kizayuni wa Israel atarajiwa kuizuru Uturuki

Rais wautawala wa Kizayuni wa Israel atarajiwa kuizuru Uturuki

Baadhi ya matukio ya miaka ya hivi karibuni yanaonyesha kuwepo mkakati maalumu wa kuanzishwa tena uhusiano wa karibu baina ya Uturuki na utawala wa kibaguzi wa Israel. Kadhia ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi ni kati ya matukio muhimu ambayo yamejiri…

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Serikali ya Mali inapanga kupitia upya mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiulinzi kati yake na Ufaransa. Mkataba huo kati ya nchi hizo mbili ulitiwa saini mwaka 2014 na kuanzisha operesheni Barkhane ili kuisaidia Mali kupambana na makundi ya kigaidi. Mnamo mwezi uliopita wa Desemba Paris na Bamako zilikuwa zimekubaliana kuongeza muda wa mkataba huo kwa…

Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano mzuri wa Iran na Russia ni uhusiano wa kistratejia

Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano mzuri wa Iran na Russia ni uhusiano wa kistratejia

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna mipaka yoyote katika njia ya kupanua uhusiano wa taifa hili la Kiislamu na Russia na kwamba, uhusiano wa Tehran na Moscow upo katika kiwango cha mahusiano ya kistratejia. Rais wa Iran amesema hayo katika mazungumzo yake mjini Moscow na Rais Vladimir Putin wa…

Gazeti la Marekani: Mazungumzo kati ya Iran na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi yanashamiri

Gazeti la Marekani: Mazungumzo kati ya Iran na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi yanashamiri

Likirejelea kushindwa kwa mashinikizo makubwa ya Trump dhidi ya Iran, gazeti moja la Marekani liliandika kwamba Waarabu wa Ghuba ya Uajemi wanaweza kuiona Iran kama mhusika wa eneo hilo. Gazeti la Marekani la “Christian Science Monitor” limeandika kwamba, kuna mambo kadhaa yanayozingatia kubadilika kwa misimamo ya Waarabu wa Ghuba ya Uajemi katika kufungua mlango wa…

Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel

Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel

Gazeti la Kiebrania la Israel Hume limeripoti kwamba wanajeshi 31 wa Israeli waliuawa katika mwaka uliomaliza majuzi wa 2021 na kwamba 11 kati yao walijiua wenyewe. Faraan: Kumetajwa sababu kadhaa za vifo vya wanajeshi wa Israel. Sababu kuu ya kuuawa wanajeshi wa Israel inahusiana na siasa za kijeshi za utawala huo ghasibu. Utawala wa Israel…