
Makampuni ya usalama ya kibinafsi na kuongezeka kwa nguvu za Kizayuni
Jambo muhimu ni kwamba makampuni hayo katika mashauriano yao yanaelekeza mwajiri anayetakiwa katika serikali za Marekani, Uingereza, Ufaransa na utawala wa Kizayuni pamoja na masuluhisho yao yaliyopendekezwa; Na hii ina maana ya kuongezeka kwa nguvu za Kizayuni.

Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Licha ya kupita wiki kadhaa tokea aliporejea madarakani Abdalla Hamdok kama waziri mkuu wa Sudan, na jeshi la nchi hiyo kuafiki aunde serikali isiyo ya kijeshi lakini mgogoro wa kisiasa bado haujamalizika, kwani wananchi wanaendeleza maandamano mitaani. Faraan: Aghalabu ya wananchi wa Sudan wanaendelea kupinga utawala wa kijeshi na wanaamini serikali ya sasa ni matunda…

Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa. Faraan: Mary-Ellen McGroarty, Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) nchini Afghanistan anasema kuwa, katika kipindi cha miaka 20 ya shughuli zake na…

Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia
Licha ya mgogoro wa kisiasa wa Tunisia kuendela kwa miezi kadhaa sambamba na kufanyika juhudi za kujaribu kuumaliza, lakini juhudi hizo zimeshindwa kuzaa matunda. Katika uwanja huo, Rais Kais Saied wa Tunisia ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya mahakama katika kuchelewesha uchunguzi wa ripoti zinazohusiana na ukiukaji uliofanyika katika mwenendo wa uchaguzi mkuu uliopita na…

Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu
Mgogoro wa Ethiopia umechukua wigo mpana zaidi kiasi kwamba, akthari ya weledi wa mambo wa mambo wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutekwa na kuangukia mikononi mwa waasi mji mkuu Addis Ababa na kuenea vita vya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Machafuko na mapigano yalianzia katika jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia….

Fikra ya kuangamizwa kwa Israeli; Demokrasia dhidi ya Demokrasia
Siasa rasmi iliyotangazwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kwamba serikali hii ipo dhidi ya utawala wa Kizayuni, hivyo inasisitiza kwa uwazi kabisa kuangamizwa kwa Israeli.Hivi sasa Swali linakuja kwamba, ni nini maana ya fikra ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusiana na kuangamizwa kwa Israeli?

Bila ya usaidizi wa Marekani, Israeli haiwezi ikajimudu na kudumu kwa muda mrefu
Hakuna sababu ya kimantiki kwa Marekani kuiunga mkono Israeli. Kutotambulika kwa nchi ya Israeli katika eneo la Mashariki ya Kati inatosha kua ni sababu kwa serikali ya Marekani kupata ufahamu na kutafakari upya uhusiano wake na utawala wa Israeli. Faraan: “Kwa Hakika utawala wa Israeli hauwezi kudumu kwa muda bila kuungwa mkono na Marekani,” alisema…