Tofauti zazidi kupamba moto nchini Israeli, Je Netanyahu ataondoka ?
Huku mifarakano ikizidi kupamba moto katika muhimili mkuu wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala ghasibu wa Israel kutokana na ukosefu wa mazingatio kwa baraza la mawaziri la muungano wake kuhusu suala la kusitisha vita vya Ghaza, viongozi wengi wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala huo ghasibu wanamaoni kuwa Netanyahu ataanguka hivi karibuni. “Tunapaswa…
Nahodha wa Timu ya Kriketi ya Afrika Kusini avuliwa daraja baada ya kuunga mkono jinai za Israel
Afrika Kusini imemvua David Teeger majukumu yake kama nahodha wa Kombe la Dunia lijalo la Kriketi kufuatia matamshi yake ya kuunga mkono jinai za utawala haramu wa Israel. Siku ya Ijumaa, Shirikisho la Kriketi ya Afrika Kusini (CSA) ilitangaza uamuzi wa kumshusha cheo Teeger kama Nahodha wa timu ya Afrika Kusini ya chini ya umri…
Somalia yaionya Ethiopia: Msikiuke mamlaka ya ardhi yetu
Waziri Mkuu wa Somalia ametaka kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo, wiki mbili baada ya kusainiwa mapatano baina ya Ethiopia na Somaliland yatakayoiwezesha Ethiopia kutumia Bandari ya Berbera ya Somalia iliyoko katika eneo hilo la Somaliland. Hamza Abdi Barre alionya jana Jumapili kuwa, Ethiopia inaingilia mamlaka ya kujitawala Somalia…
Uwepo wa Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki – Kenya
Athari za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika hususan katika nchi za Kiislamu za bara hili ni suala ambalo linaukabili ulimwengu wa Kiislamu wenye changamoto katika kipindi kirefu. Wazayuni wanafuata hatua za uongozi katika maeneo hayo, kwa kuzidisha ushawishi wa kijeshi na wa kiuchumi hadi kusababisha mgawanyiko katika ardhi hizi za Kiislamu katika bara…
Nigeria; Mshirika mkubwa wa kibiashara wa utawala wa Kizayuni kutoka Bara la Afrika
Nigeria imekuwa na uhusiano mzuri na utawala wa Kizayuni toka siku za awali, ingawaje mahusiano hayo yamekuwa yakidorora tangu kuapishwa kwa rais mstaafu wa Nigeria, Bw. Muhammad Bukhari, mnamo mwaka 2015. Ingawa Nigeria imekuwa na uhusiano mzuri na utawala wa Kizayuni siku za nyuma, mahusiano hayo yamekuwa na matatizo madogo tangu kuapishwa kwa rais wa…
Ramaphosa: Ni fakhari kwa Afrika Kusini kufungua kesi dhidi ya Israel huko ICJ
Rais wa Afrika Kusini amesema kwamba amefurahishwa na jinsi timu ya wanasheria wa nchi yake ilivyojadili kesi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kwamba ni fakhari kwa nchi yake kufungua kesi hiyo dhidi ya Israel….
Mshirika wa waziri mkuu wa mashoga wa Ufaransa amekuwa waziri wa mambo ya nje
Stéphane Sigourney, ambaye alitangazwa kuwa waziri mpya wa mambo ya nje wa Ufaransa, ni mshirika wa zamani wa waziri mkuu wa mashoga wa nchini humo. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ambaye amelifanyia mabadiliko baraza la mawaziri la nchi hiyo, alimchagua Stéphane Sigourney kuwa waziri wa mambo ya nje na kiongozi wa mrengo wa Ulaya wa…
Israel inasubiri matokeo hasi kutoka katika Mahakama ya The Hague
Vyombo vya habari vya Kiebrania vilielezea hali ya Tel Aviv kuwa “ngumu” kabla ya mkutano wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kushughulikia mauaji ya kimbari yaliyofanyika mjini Gaza na kutaja kua matokeo ya maamuzi ya The Hague kuhusiana na suala hilo kuwa ni mabaya. Haaretz iliripoti kwamba uamuzi wowote wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki,…