
CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani
CNN iliandika katika ripoti yake kwamba Iran ina hiyari ya kufanya uamuzi unaoweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta kwa viwango vya juu zaidi ikilinganishwa na rekodi za awali, na ongezeko hili litakuwa na madhara makubwa kwa Marekani na uchumi wa dunia nzima. Kufuatia wasiwasi wa kusita kwa usambazaji wa mafuta ya Iran, bei ya…

Uhuru afanya mkutano wa kawaida na mjumbe wa Umoja wa Mataifa
Uhuru afanya juhudi za kuwezesha mchakato wa Nairobi unaoongozwa na EAC kuhusu kurejesha amani na utulivu Mashariki mwa DRC. Mkutano huo wa mtandaoni ulikuwa wa maandalizi kwa ajili ya mkutano ujao wa Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa eneo la Maziwa Makuu Huang Xia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eneo…

Tamko la IRGC baada ya shambulizi la kombora dhidi ya Israel
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitoa taarifa baada ya shambulio la kombora dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Kulipiza kisasi kwa Irani dhidi ya Israel kulikotarajiwa kumeanza huku makombora ya balistiki yakirushwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (utawala wa Israel) siku ya Jumanne jioni. Katika kukabiliana na kifo cha kishahidi…

Kwa kauli mbiu ya “Labaika Ya Nasrallah”.. nchi ya Lebanon ilirusha Makombora 10 ya balistiki katika mji wa Tel Aviv
Vyombo vya habari vya utawala huo ghasibu vilikiri kwamba makombora 10 ya balistiki yalipiga Tel Aviv. Hapo awali, jeshi la Israel lilitangaza kwamba Waisraeli mmoja na nusu kwa sasa wako kwenye makazi kutokana na mashambulizi ya roketi ya Hezbollah. Vyombo vya habari vya utawala huo ghasibu vilitangaza kuwa Barabara nambari 6 mashariki mwa Tel Aviv…

New York Times: “Hashem Safiuddin” yuko hai
Gazeti la The New York Times limewanukuu maafisa watatu waandamizi wa utawala wa Kizayuni nakuripoti kuwa, katibu wa Halmashauri Kuu ya Hizbullah hakuwepo katika kikao cha makamanda wa Hizbullah wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Dahiya. Gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa watatu waandamizi wa utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa, Hashem Safiuddin, Katibu…

Arakchi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso katika mkutano wa kando katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Araghchi alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso kando ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Dr. Sayyed Abbas Arakchi, ambaye ni Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kujadiliana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso katika muendelezo wa mikutano yake ya pande…

Ramaphosa: Afrika ipewe kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la UN
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza kuwa Afrika inapasa kupewa uwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC). Ramaphosa ameeleza bayana kuwa, ni jambo lisilokubalika kwa bara hilo lenye watu zaidi ya bilioni 1.3 kubakia bila uwakilishi katika chombo hicho muhimu cha UN. Kiongozi huyo wa Afrika Kusini amesema kuwa, Afrika inastahili…

Waislamu wapendekeza mgombea wa tatu katika uchaguzi wa rais Marekani
Licha ya mgombea urais wa chama cha Democratic, Kamala Harris, kuwa na nafasi nzuri zaidi na kumtimulia kivumbi mpinzani wake wa chama cha Republican, Donald Trump, katika kura za maoni za hivi karibuni, kura za Waislamu wa Marekani sasa zimeweka kipaumbele kwa mgombea wa Chama cha Kijani, Jill Stein, ambaye anaunga mkono waziwazi kadhia ya…