Kwa nini mapambano ya Wapalestina ni muhimu kwa Waafrika
Mwandishi: Yahya Habil Ni muhimu kuelewa kwamba sababu ya Palestina sio tu sababu ya Kiarabu – ni sababu ya kibinadamu Huku idadi ya waliofariki ikiongezeka huku Israel ikishambulia kwa mabomu huko Gaza, na huku ulimwengu ukiendelea kushuhudia udhalilishaji wa Wapalestina, Waafrika wanapaswa kuchukua hatua na kutafakari nini maana ya vita hivyo vya WaPalestina kwao….
Kuzuiliwa kwa Israeli katika bahari na nchi tajiri zaidi ya Kiarabu yenye uwezo mkubwa wa kiujasiri na heshima
Faraan: “Kwa vile chakula na dawa haviruhusiwi kuingia mjini Gaza, nasi tunazuia kuingia na kutoka kwa meli zinazoelekea Tel Aviv.” Hii ndiyo hukumu iliyotoka kwa msemaji rasmi wa jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree, na makusudio yake ni kuwa, Yemen italenga meli zote zinazoelekea Tel Aviv bila ubaguzi. Uchambuzi: Wengine wanashangaa jinsi nchi kama…
Mashambulio 449 kwenye vituo vya matibabu huko Gaza
Shirika la Afya Duniani limethibitisha zaidi ya mashambulizi 449 dhidi ya vituo vya matibabu huko Gaza na Ukingo wa Magharibi tangu kuanza kwa vita mnamo Oktoba 7. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amesema tangu kuanza kwa vita hivyo zaidi ya mashambulizi 449 yametekelezwa na utawala wa Kizayuni katika vituo vya…
ODM Yaanza Kufuta Nyayo Za UDA Nyanza
CHAMA cha ODM kimeanza kuwakusanya wafuasi wake kukabili uvamizi wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika Kaunti ya Homa Bay. ODM imewaagiza wafuasi wake katika kaunti hiyo kuhakikisha wametumia kila mbinu kuhakikisha wamedhibiti mafanikio ambayo UDA imepata katika eneo hilo kwa miezi michache iliyopita. Hatua hiyo ni sehemu ya mikakati ya kupunguza juhudi za…
Fatma Karume: Muungano haujaathiri Wazanzibari
MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Fatma akasema tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane mwaka 1964, hajaona kama muungano umewaathiri Wazanzibari kwa namna yoyote. Anasema…
Upinzani wa wajumbe wawili wa Congress ya Marekani kwa azimio la kuwepo kwa “Haki ya uwepo wa Israel”
Idadi kamili ya Baraza la Wawakilishi la Marekani iliidhinisha azimio la haki ya kuwepo kwa utawala wa Kizayuni, huku Wapalestina 15,000 wakiuawa shahidi wakati wa vita vya utawala huo dhidi ya Ghaza. Siku ya Jumanne, Baraza la Wawakilishi la Marekani kwa wingi wa kura lilipitisha azimio la kutambuliwa kwa “haki ya uwepo wa Israel”, na…
Mwanadiplomasia wa Kirusi: Hatari ya kuenea kwa vita vya Gaza, na tishio katika Mashariki ya Kati
Huku akielezea vita vya Gaza kama “mgogoro wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa” katika historia ya Ulimwenguni, naibu mwakilishi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa alisema kuwa hatari ya kupanuka kwake inatishia eneo lote la Asia Magharibi. Licha ya maafikiano ya usitishaji vita kwa muda kati ya utawala wa mpito wa Kizayuni na harakati ya Hamas…
Kundi la Saba: Tunaunga mkono kurefushwa kwa mda wa usitishaji vita mjini Gaza
Katika taarifa ya pamoja, mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zenye uwanachama wa G7 waliunga mkono kurefushwa kwa usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza na kuendelea kwa usitishaji huo wa kibinadamu. Kwa mujibu wa ripoti ya kundi la kimataifa la shirika la habari la Fars, katika muendelezo wa uungaji mkono wa nchi za Magharibi…