Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni: Kila dakika 10 mtoto huuawa huko Gaza
Huku akieleza kuwa katika hali ya wastani mtoto mmoja huuawa kila dakika katika Ukanda wa Gaza, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani alionya kuwa hakuna sehemu yoyote Gaza iliyo salama na hakuna aliye salama. Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa kwamba wastani…
Maafisa wa Marekani waandamana kupinga misimamo ya utawala wa Biden mjini Gaza
Zaidi ya maelfu ya maafisa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani katika barua ya wazi iliyotaka kusitishwa kwa mapigano yalioko Gaza; Barua hiyo ni ishara ya hivi punde ya kutoridhishwa na sera za utawala wa Biden kwa utawala wa Kizayuni. Zaidi ya maelfu ya maafisa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani…
Al-Sisi amuhutubia mkuu wa CIA: ‘Cairo katu haitashiriki katika uharibifu wa Hamas’
Rais wa Misri alikataa pendekezo la mkuu wa CIA kuhusu utawala wa usalama wa Ukanda wa Gaza na kutangaza kuwa serikali yake haitahusika kamwe katika uharibifu wa Hamas. Kulingana na mkutano kati ya William Burns, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani linalojulikana kama CIA, na Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi mjini Cairo, vyanzo…
Afrika Kusini yatoa onyo kwa balozi wa utawala wa Kizayuni
Serikali ya Afrika Kusini imetoa onyo kwa balozi wa utawala wa Kizayuni kutokana na matamshi na kauli yake isiyoridhisha. Afisa wa sera za kigeni wa Afrika Kusini aliliambia shirika la habari la Reuters siku ya Jumatano kwamba serikali ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kwa lengo la kumkemea rasmi kwa kutoa kauli za kuudhi….
Kukataa kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Kundi la G7 katika kuomba kusitishwa kwa mapigano mjini Gaza
Mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la G7 walisema katika taarifa kwamba wanaunga mkono kusitishwa kwa mapigano ya kibinadamu huko mjini Gaza, lakini walijizuia kutoa wito wa kusitishwa kwa mapigano hayo. Mawaziri wa mambo ya nje wa G7 walisema katika taarifa siku ya Jumatano kwamba wanaunga mkono kusitishwa kwa misaada ya kibinadamu katika mzozo…
Wabaya zaidi kuliko Wazayuni ni wale Waislamu walio kimya – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 3, 2023 Hotuba ya 1: Wabaya zaidi kuliko Wazayuni ni wale Waislamu walio kimya Mwanadamu anapokosa kua na Taqwa basi jambo la kwanza analolipoteza ni ubinadamu wake, na kisha…
Bloomberg ilifichua chaguzi tatu za Marekani na utawala wa Kizayuni kuhusu mustakabali wa Gaza
Shirika la habari la Bloomberg limeripoti kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wanatafakari chaguzi kwa mustakabali wa Ukanda wa Gaza baada ya Hamas, ikiwa ni pamoja na kutumwa vikosi vya kimataifa katika ukanda huo. Bloomberg aliandika asubuhi ya leo (Jumatano) akinukuu vyanzo ambavyo havijatajwa kuwa chaguo la pili ni kuunda kikosi cha kulinda amani sawa…
Ongezeko la vyama vya siasa Kenya kabla ya uchaguzi wa 2027, mradi wa kibiashara?
Ongezeko la vyama vya siasa vinavyojiandikisha nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 limetajwa kuwa ni mradi wa viongozi wa vyama hivyo kwa ajili ya kujipatia kitita kikubwa cha fedha za walipakodi wa Kenya. Ripoti zinasema, idadi kubwa ya vyama vya kisiasa vinavyosaka usajili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 ni kiashiria cha jinsi mabilioni…