Gabon yatangaza Baraza la Mawaziri, mwanamke apewa wizara ya ulinzi
Serikali ya mpito ya Gabon imetangaza Baraza jipya la Mawaziri, na kumteua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi. Hayo yanajiri wiki moja tu, baada ya Jenerali Brice Oligui Nguema, ambaye aliongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyoung’oa madarakani utawala wa makumi ya miaka wa familia ya Bongo, kuapishwa Jumatatu iliyopita kuwa “rais wa serikali ya mpito” ya Gabon. Taarifa…
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina. Muhammad Hamada amesisitiza kwamba, jinai mtawalia za wavamizi na walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti wa…
Ulimwengu baada ya Septemba 11, 2001
Miaka 22 imepita tangu baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 katika miji ya New York na Washington, tukio ambalo liliathiri sio Marekani pekee, bali karibu dunia nzima. Katika mashambulizi hayo ya kigaidi, ambayo yanatambuliwa kuwa tukio kubwa zaidi la kigaidi katika historia ya Marekani, karibu watu elfu tatu waliuawa. Kwa mujibu wa…
Licha ya kuwepo uhusiano, Morocco yakataa misaada ya Israel kwa waathirika wa tetemeko la ardhi
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Morocco imetoa jibu rasmi la kukataa tangazo la utayarifu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea nchini humo. Kufuatia tetemeko kubwa la ardhi la 7.20 katika kipimo cha Rishta lililotokea nchini Morocco usiku…
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa kwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Septemba 1, 2023 Hotuba ya 1: Kuanzishwa kwa Adl katika jamii huanza kabla ya kuanzishwa kwa jamii Katika Surah Hadid, aya ya 25; Allah (s) amewaamuru waumini kusimamisha Adl….
Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani
Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani “Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia.” Kwa mujibu wa ripoti hiyo, takriban watu milioni 110 duniani kote wamelazimika kuacha nyumba na maeneo yao kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo vita na migogoro ya ndani. Katika mazingira…
Hii ni “Israeli”; “Nyumba ya buibui”
Zaidi ya miezi sita imepita tangu kuanza kwa mgogoro wa ndani wa utawala wa mpito wa Israel, na wavamizi wanaona utimilifu wa nadharia ya kimungu ya nyumba ya buibui uko karibu zaidi kuliko hapo awali, ambapo wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, hatima ya Tel Aviv imehusishwa na migogoro na uharibifu toka mwanzo. Baada ya wiki…
Kufukuzwa kwa wakimbizi wa Kiukreni kutoka kwa hospitali za Kizayuni
Kufuatia unyanyasaji wa wakimbizi wa Ukraine unaofanywa na utawala wa Kizayuni, gazeti moja la Israel liliripoti kuhusu kufukuzwa hospitalini wagonjwa wa Ukraine na kutorejeshwa upya kwa bima ya afya zao. Gazeti la Kizayuni la Ha’aretz limefichua kwa kuchapisha ripoti kwamba kutokana na ukosefu wa ufadhili maalum kwa ajili ya wakimbizi wa Kiukreni unaofanywa na Wizara…